Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,013
walichokifanya haikuwa sahihi kumpa uzito kiongozi wa upinzani while mkuu wa nchi alikuwepo na walichofanya ni kutuhabarisha tu kuwa alikuwepo, kitendo hiki kilimaanisha kwamba mhusika mkuu alikua kiongozi wa upinzani na si mkuu wa nchi , kosa kubwa..
Mbowe ni Kiongozi wa nchi pia....Ana heshima kubwa nje na ndani ya nchi...Ni zaidi ya Dhaifu JK.......