Lyimo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,826
- 2,021
Kama mkuu wa nchi hakumuongelea Marehemu, then ni sawa tu maana baada ya huyo kiongozi wa upinzani kumaliza kuongea, mtangazaji alibainisha kuwa mazishi hayo yaliongozwa na Mh. Rais. Ama ulitaka wakati Mbowe akiongea awe anaonyeshwa picha ya Mh. Rais tu akiwa anamsikiliza Mbowe?