Is it true....?

Kuna mtu kauliza swali la kujiexpress? Naomba nione tafadhali....na ukitaka kujua mtu anatumia mtandao huu au hatumii utaulizaje?
Ahaa!
Kwa maana ya kuwa vitu gani uulize na vipi uuchune? Makubwa haya ya Tigo mwenzangu sipati picha. Eti unamwuliza mwenzi wako unatumia Tigo au la? akikujibu anatumia utafanyaje kama wewe hutumii? wengine hawatumii ila ukimwuliza atasema ndio afu imekula kwako
 
...naam. Hata mimi ningekuwa yeye (BF wako) ningefikiria the same. Kuficha maana yake ulitaka kuweka kiporo, siku ya siku uje ukile kwa nafsi yako. Ukimpiga kibuti shemeji yako, niambie tu ukweli, ukisema "..yaani, namchukia basi tu", am receiving wrong message.

Ndo nilikuwa sijajua hivyo mawazo yangu yalikuwa hawa ni marafiki wa muda mrefu mimi ndo niwagombanishe! but I have leant my lesson.
 
Mi na chafua tuu...ili mradi waifu can handle the heat, coz wengine huwa wanasikiliza marafiki zao sana...

...tupo ukurasa mmoja mkuu, ...kwakweli inasaidia! Kila analosikia kwa 'mashoga' (wa kike na kiume) linakuwa lishapitwa na wakati...! :)
 
Ahaa!
Kwa maana ya kuwa vitu gani uulize na vipi uuchune? Makubwa haya ya Tigo mwenzangu sipati picha. Eti unamwuliza mwenzi wako unatumia Tigo au la? akikujibu anatumia utafanyaje kama wewe hutumii? wengine hawatumii ila ukimwuliza atasema ndio afu imekula kwako

hehehe yaleyale kama wewe unatumia na mwenzio hatumii si unamfundisha kwani kuna ubaya hapo jamani kama kweli mmependana au mmpendana kinamna namna tu umempendea jamaa mshiko nini.
 
hehehe yaleyale kama wewe unatumia na mwenzio hatumii si unamfundisha kwani kuna ubaya hapo jamani kama kweli mmependana au mmpendana kinamna namna tu umempendea jamaa mshiko nini.

...ha ha :D eti unamfundisha! mnh, yataka moyo mazee! ukiulizwa kwanini unang'ang'ania utasemaje?
 
...ha ha :D eti unamfundisha! mnh, yataka moyo mazee! ukiulizwa kwanini unang'ang'ania utasemaje?

Issue ya tigo inategemea na jinsi relationship yenu ilivyoanza and what type of woman you are with..kuna wengine tigo is just part of the sex procedure, start with foreplay and end with anal. Mwanamke uliyempata katulia na anajiheshimu ngumu sana kupropose this issue, kwanza aatanza kufikiria ndo mchezo wako with all the exes u have been with. Mimi nimeshawahi kuwaintroduce kwenye party 3 of my ex kwa waifu...yani maswali hayakuisha mwezi mzima...like i said before women are interesting creatures but we still love them.
 
hehehe yaleyale kama wewe unatumia na mwenzio hatumii si unamfundisha kwani kuna ubaya hapo jamani kama kweli mmependana au mmpendana kinamna namna tu umempendea jamaa mshiko nini.

Na kama wewe hutumii na mwenzako anatumia si unamfundisha kutotumia ? au hili ni somo gumu ?
 
Issue ya tigo inategemea na jinsi relationship yenu ilivyoanza and what type of woman you are with..kuna wengine tigo is just part of the sex procedure, start with foreplay and end with anal. Mwanamke uliyempata katulia na anajiheshimu ngumu sana kupropose this issue, kwanza aatanza kufikiria ndo mchezo wako with all the exes u have been with. Mimi nimeshawahi kuwaintroduce kwenye party 3 of my ex kwa waifu...yani maswali hayakuisha mwezi mzima...like i said before women are interesting creatures but we still love them.

KApinga I love your woman hahahahhahah my wifi. Anajua kukaba hadi penalty.
 
We mwana raha bana kama unaifurahia lazima na mwenza naye aifurahie bana.
ile ni raaaaaaaaaaaaaaaaha utamu
 
KApinga I love your woman hahahahhahah my wifi. Anajua kukaba hadi penalty.

Ni noma...anasura fulani na jicho fulani akikupa ujue ni wakati wa ze comedy utajichekesha siku nzima mpaka arudi to the normal state..lakini ndo inabidi sasa ...u make a choice u commit and deal with what comes with the territory, if u cant handle it , u aint meant to be in this relationship stuff.
 
hehehe mapenzi bana ni kichaaa kha!hivi wakuu mapenzi yana formula?
Au kila mtu na style yake na kina mtu na techiniques zake?
 
Du natamani nami ningekuwa naweza kukaba kihivyo. Yaani ukinikosea nasema then am free!
 
hehehe mapenzi bana ni kichaaa kha!hivi wakuu mapenzi yana formula?
Au kila mtu na style yake na kina mtu na techiniques zake?

Yaani hili ni swali muhimu sana to me nadhani hakuna kila mtu na bahati yake. Unawezapewa formula then ukajikuta unaharibu kabisa kwako wakati kwingine imefanya kazi
 
...Mimi nimeshawahi kuwaintroduce kwenye party 3 of my ex kwa waifu...yani maswali hayakuisha mwezi mzima...like i said before women are interesting creatures but we still love them.

...itakuwa nafuu iwapo tu hao Ex-gals watakuwa wamechoka choka, lakini wakiwa bado wanamvuto ebana weee! ...hata kama mpo kwenye party saa hiyo hiyo bibie atang'ang'ana mrudi nyumbani akakuanzishie 'bunge'!

Ni noma...anasura fulani na jicho fulani akikupa ujue ni wakati wa ze comedy utajichekesha siku nzima mpaka arudi to the normal state...

...ha ha haaa...:D pheeeeeeeeeeewww, heri ya wangu asiyejua kununa!
 
...itakuwa nafuu iwapo tu hao Ex-gals watakuwa wamechoka choka, lakini wakiwa bado wanamvuto ebana weee! ...hata kama mpo kwenye party saa hiyo hiyo bibie atang'ang'ana mrudi nyumbani akakuanzishie 'bunge'!

...ha ha haaa...:D pheeeeeeeeeeewww, heri ya wangu asiyejua kununa!

ni noma! ex wote on point and foreign (swedes and norwegians :) ) kwaiyo ilkuwa balaa...but i'd rather have it that way kuliko kuchuna
 
hehehe mapenzi bana ni kichaaa kha!hivi wakuu mapenzi yana formula?
Au kila mtu na style yake na kina mtu na techiniques zake?

...hayana formula mazee, una solve moja unapata swali jipya ndani ya jibu!
 
...hayana formula mazee, una solve moja unapata swali jipya ndani ya jibu!

ndo hapo mi napo choka kabisa, ngoja niendelee kusubili mpaka nywele nyeupe zitoke labda nitakuwa na busara.
 
...simlaumu Kapinga na huo u-Alpha Male kwa wanawake wetu wa kibantu, maana hachelewi kukutamkia hadharani, ..."leo umepika vyombo umemuachia nani avikoshe? na jikoni ukadeki...(+msonyo!)"

Hiyo kutamka hadharani sasa ni shughuli nyingine na lazima mwanaume aghafirike kwa kusema kweli. Ninachofahamu mimi ni kwamba kwa baadhi yetu wanawake tukisaidiwa na wanaume zetu basi muda mwingine tunachukulia kama advantage fulani kwamba aaah,atafanya tu ndo kazi zake. Ila kusaidiana inapendeza na heshima ikiwepo mwanaume anakusaidia mara nyingi tu shughuli mbalimbali za nyumbani.
 
My Sweet Cherries Belinda You know what, I am just thinking...It would be truly worthwhile to give up the world for your kiss...I can not stop thinking about you anyway Friday haiko mbali

Hebu wape experience yetu ....si unajua tena I am always here to give you a lovely backing

Masa

3 days to go,worry not dear!..

Masa subiri nigusie machache tu!!
unajua watu wanatofautiana kwenye haya mapenzi. Cha muhimu ni mtu utakayekutana nae mkawa wote kama wapenzi.

Inapendeza kusikilizana pia kwenye kuulizana maswali isiwe kama vile unaishi na 'detective' fulani ndani ya nyumba yako. Au jitahidi ku-twist maswali in a romantic if not a jokey way ili mtu asiwaze analindwa kila saa.

Sometimes mpe mtu nafasi,kama anatoka na rafiki zake out mpe viza yake arudi usiku wa manane hata asubuhi ajue unamjali ila humlindi kupita maelezo. lazima ugusie kuwa awe mwangalifu na vitu kadhaa kiafya na usalama wenu.

Ukimuuliza mtu swali akakujibu kwa hasira ujue umemkera hivyo unaweza kusema yaishe au kuomba msamaha kwa kuona umemkwaza kwa swali lako au jinsi ulivyouliza kwa ghadhabu.

Kila kitu kina raha na karaha zake!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom