Is it true....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it true....?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, May 5, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  May 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Utaniambia leo ulipitia wapi na ulikuwa na nani![​IMG]  Inasemekana kila mtu duniani ana siri zake binafsi na kuna wakati hapendi mtu yeyote ajue ila ni yeye na Mungu wake.
  Si siri tu bali hupenda kuwa mwenyewe na kujiamulia mambo yake mwenyewe kwa kadri anavyotaka....................................
  Lakini
  Unapokubali kuoana na mwanaume au mwanamke maana yake unaruhusu kuanza maisha ya pamoja (sharing) katika hisia, emotions, kazi, kitanda, bafu, harufu, nguo nk.

  Hata hivyo hii haina maana kwamba tunawajibika upande mwingine yaani mume au mke kujua kila kitu kwani kila mmoja huhitaji kuwa na siri au kufanya kitu mwenyewe.​

  Hapa ninazungumzia vitu ambavyo ni vizuri havina uhusiano na tabia mbaya kama ulevi au kukosa uaminifu.

  Hata hivyo wapo wanaume zetu au wake zetu hutaka kujua kila kitu tunachofanya na kila mahali tulikuwa zaidi ya mama zetu walivyokuwa wanatuchunga wakati watoto.

  Kama mwanaume umeenda kazini, mkeo anataka kujua kwanza wakati unaenda kazini uliongea na nani, umefanya nini, umekula nini na nani, ulipotoka kazini ulipitia wapi, na mlikuwa na nani na atachukua simu ya mkono na kuanza kuangalia nani alipiga, nani alipigiwa na nani alikutumia sms na nani alitumiwa, ni kuchunguzana na kuulizana zaidi ya FBI.
  Maswali mengi utafikiri ndoa ni mahakamani. ​

  Kwani ni lazima ujue kila kitu?
  Ukweli kama wewe ni mwanamke si lazima ujue kila kitu kuhusu mume wako, alikuwa wapi, alikuwa na nani, amefanya nini na ilikuwaje nk, kuna vitu ni non of your business.

  Source: The Hill Of Wealth

  Je ni kweli? Si wanasemaga hakuna siri kati ya wapenzi au hawamaanishi haya? Ni vitu gani tusivyopaswa kuviuliza (kutaka kuvijua) tokka kwa wenzi wetu?
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  SWALI ZURI. Ngoja nione watu watavyokuja 'kujikaanga' hapa!... :D
   
 3. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mtu unaweza kuuliza swali lolote like kama utakuwa unaamini kuwa jibu utakalopewa halita ku-disturb
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Vile vile mwanandoa unastahiki kujibu lolote utaloulizwa almuradi lisiwe la kumuudhi au kumtia shaka mwenzio!
   
 5. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maswali sina shida nayo ,mimi sio mtu wa kukosa majibu!! But personally fights na mchumba ni kwamba si saidii kufua , kupika wala kuosha viombo. You would think a faithful guy commited to the relationship for jus over 2yrs, paying the rent, covering all other bills bado waifu to be anakununia kisa humsaidi kupika na kuosha viombo instead u jus watch tv . Been dating all kinds of women (white, asian, mixed u name it) lakini wa kitanzania ndo anaumiza kichwa na vitu vinavyomchosha yeye ndo nimeeleza hapo juu. I dont mean to generalise tanzanian women but thats my story.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  :D ...ndugu yangu Kapinga, kwa niaba ya huyo shemeji yetu naomba kukuuliza swali la nyongeza;

  "Kwanini hutaki kumsaidia kufua, kupika, wala kuosha vyombo?"
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  He he..unataka watu wamseme kuwa amekaliwa na mkewe au amepigwa kipapai...

  Wapo wanaume wanaosaidiana na wake zao vizuri ila wengine wakiona,aaah jamaa kwisha kazi hadi vyombo anaosha!LOL

  Kama wanandoa kuulizana na kujibu maswali ni muhimu japo jinsi ya kupresent maswali na majibu yake inabidi iwe ya kistaarabu.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  May 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Mkulima hata mie nilikuwa nawaza vivyo hivyo but inakuwaje mfano kuna mwingine akiwa anatoka kazini huwa anatoa notebuk na kuanza kuandika possible answers ya maswali atakayoulizwa na bado anaweza akakosa majibu ya maswali mengine kwa vile anaweza akawa hakutegemea kama ataulizwa, yaani mwenzi wake huwa anauliza just about everything. Ila cha kushangaza huyo mwenza unawezakuta hapendi kabisa kuulizwa yaani hata akisema aje asubuhi yake usimuulize ama sivyo unatafuta ugomvi

  Sasa ni mambo gani wewe kama mke/mume unapaswa kuuliza mwenzi wako?
  Kina kaka ni vitu gani huwa hampendi muulizwe na vipi mnaona sawa kuulizwa? Kina dada je?
   
 9. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  good one..im kinda old school...loving, respecting and taking care of my woman is what i see as key to the relationship. Mambo ya kupika kufua kupanga dont rank very high on my list. I think she tends to get bored at times ndo huwa anatafuta sababu ya malumbano...relationships are a drag, if u dont cheat utatafutiwa kasoro nyingine. Props to those who deal with such day in and out for over 20 yrs.
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  May 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh!!
  Haya apart from hayo kuna lolote ambalo wewe kama wewe kapinga unahisi halimuhusu wifi (mkeo) mfano marafiki unaokutana nao, maeneo unayopita ukitoka kazini au ukirudi umechelewa akuulize ulikuwa wapi, unafanya nini?
   
 11. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dude its like u opened a page in my relationship..muulize swali yeye utasikia 'i dont need this mara simu zinakatwa mara u stress me' wanawake viumbe vya ajabu..we still love them though.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Oyaah nimekusoma....ingawa niliishawahi ambiwa na mdada eti sisi wanaume ni animals with a dick, which we can interchangeably use for making love and thinking.....nilichoka....(Not my Bellies)
   
 13. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Akiulizaga anapata majibu , funny enough she cant deal with the answers she gets. Maybe wanawake sometime wanaencourage guys to lie because of the reaction we see due to their handling of the honest answers we give.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  May 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  and that is the nost important part.

  I am telling you u r not alone in the boat.

  kuna wale ambao wao wanapenda kujua each and just everything wakifanyacho wenzi wao but wao hawakotayari kushare na once ukisema umuulize ndio utakutana na majibu ya ajabu kama ' I dont need this; well you dont have to know, dont worry its nothing au hata its none of your business au ah haya mambo ya wanaume/wanawake!! na kiukweli inauma unapopewa jibu la aina hii sasa ili kupunguza uwezekano wa kuumizwa ni bora tukajua kipi tunapaswa kuuliza bile kuua ego ya mwenzako na kipi hupaswi.
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  May 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Eti??! Ulimfanya nini na wewe Masa?
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  MJ1,
  1.Is this something you have seen, heard au unafikiria? Ikifikia hapo basi nadhani ni mwisho!
  Hiyo ni relationship ya namna gani?
  2. Kwanini aanze kutafuta majibu? ni kwamba anadanganya au inakuwaje maana kuna msemo kuwa " if u tell the truth you dont have to remember anything" much less kuandaa majibu kabisa kwenye notebuk.
  3. Wakati anapoulizwa, je anaruhusiwa kufanya rejea kwenye notebuk? LOL!
   
 17. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ningependa kujua jinsi ya kujibu na kuuliza maswali bila kuleta beef..sometime full kununiana mpaka kesho! yani haya mambo...wengine mama's boys sana huwa namweleza mama yangu hizi issues ananicheka sana..ok now im missing bongo! hahahaha
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...simlaumu Kapinga na huo u-Alpha Male kwa wanawake wetu wa kibantu, maana hachelewi kukutamkia hadharani, ..."leo umepika vyombo umemuachia nani avikoshe? na jikoni ukadeki...(+msonyo!)"
   
 19. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tena mbele ya masela ambao wamekuja home kukata beer na kucheki game...yaaani mtu inakuchua muda kuwa na comeback coz mwanamke kashachafua hali ya hewa...inakuwa kama alikuwa robot kitu automatic response ambazo hazikupewa wazo kwamba message gani zinatuma in public.
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  May 5, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  WoS dada we acha ukisikia relationship ujue zipo za aina nyingi.

  I have SEEN dada shost yangu nafanya nae kazi yaani huwa namwonea huruma. Si kwamba anadanganya bali ni katika kujaribu kukumbuka vitu alivyofanya mchana huo ili akiulizwa asijeshindwa kujibu maana akishindwa ni ugomvi. Sometimes huwa anaulizwa wakati nimekupigia simu ulipokea ukiwa unacheka, ulikuwa unacheka nini na nani na kwa nini ? au ulikuwa unanicheka mimi kukupigia simu' sasa swali kama hili unaweza kujibu kama alikupigia mara moja mtu mwenyewe ni kila baada ya nusu saa anapiga so itabidi ukumbuke ni simu ya ngapi ndo ulipokea ukiwa unacheka yaani ni adhabu.
   
Loading...