wewe haya umeyatoa wapi?................stereotyping has always led most of us astray........................kila mtu yategemea kalelewa vipi..................
Uzuri ni kwamba elimu haina mwisho,
Leo utasema mdada una elimu ya juu ya Degree halafu unakuja unakutana na Jamaa kapiga Masters, PHD mpaka CPA halafu Bwa'Mdogo tu!!
Halafu siku hizi elimu nayo kama huna Tembocard-Mastercard nayo sio issue sana!!

Kusoma ni kitu kingine, na kuelimika ni muamala mwingine.
Mwanamke aliesoma na akawa na dharau huyo atakua amesoma tu! Hajaelimika. Aliye elimika hawi hivyo.