Is it possible...??

Najua si ugonjwa na najua watu wengi wangefurahi sana kama wangekua kwenye situation kama yangu.But its just that kwenye malengo yangu to have a baby ilikua bado thats y napata tabu kidogo sitaki mtoto wangu aje kwenye dunia hii apate tabu whl nkijipanga hawezi pata shida yoyote!!!!

Asilimia kubwa ya watu huwa wanasema walikuwa hawajajipanga kupata watoto.Sasa wewe usiwe na wasiwasi viti vitakuja automatically.sawa!
 
Duh, umenikumbusha nilivyokuwa form six nilipitiliza siku 4, sikuwahi kufanya tendo ila nilikuwa na boyfriend.

Hiyo stress yake sasa, halafu nilikuwa nakaribia pepa la necta. Ila nashukuru Mungu sana, siku ya tano nikawapata wageni wangu na haijawahi kunitokea tena. Nikichelewa au kuwahi ni siku moja au mbili.

Fanya upime dear, uzijue mbivu na mbichi.
 
Shamba umelima mwenyewe halafu unaogopa mavuno? Kama kweli ulikuwa na malengo ungesubiri. Kwani usingefanywa ungekufa? Ukikubali kuvua chu.p.i jua mimba ipo njiani
 
Shamba umelima mwenyewe halafu unaogopa mavuno? Kama kweli ulikuwa na malengo ungesubiri. Kwani usingefanywa ungekufa? Ukikubali kuvua chu.p.i jua mimba ipo njiani

Asante sana kwa ushauri wako mkuu next tym sitakubali kuvua hiyo ulosema!!!!!!!
 
Yes ni condoms and ofcoz anabadilisha condom az ni lazma kufanya hivyo...!!labda kama kweli ilipasuka na akaamua kukaa kimya!!!
Kama condom ikipasuka anapo-ejaculate si ungesikia shahawa zikikuingia? Kama hukuzihisi basi siyo mimba; jipe moyo!
 
Back
Top Bottom