hahahahah...roho ya MJ1 bwana inamtosha mwenyewe, sio ya kuiombea hata kidunchu, kuumia anaumia but anachelewa kuchukua maamuzi tena magumu na yacyo na mazoea, huyu kaka kila cku nasemega alimpata mwanamke(MJ1) hatakaa apate tena......angekuwa ni mie huyu mtoto angeenda kumwona skul 2, kwangu mazoea(hapa nicngetaka kuckia cjui namnyima mtoto haki yake)...
hahahahah...roho ya MJ1 bwana inamtosha mwenyewe, sio ya kuiombea hata kidunchu, kuumia anaumia but anachelewa kuchukua maamuzi tena magumu na yacyo na mazoea, huyu kaka kila cku nasemega alimpata mwanamke(MJ1) hatakaa apate tena......angekuwa ni mie huyu mtoto angeenda kumwona skul 2, kwangu mazoea(hapa nicngetaka kuckia cjui namnyima mtoto haki yake)...
Sweetie nazungumzia wale ambao wametengana na kuwa bado hawako supposed to have other relationships au hata kama wanazo basi hawako tayari kuonyeshana pengine kwa sababu maalumu.
Hapo kwenye namna mlivyotengana unazungumzia kutengana kwa ugomvi au amani ((kuna kutengana kwa amani??)?
Unajua hawa viumbe wanaangalia pia na mtu kwanza anakupima akiona umelegea ndio anaanza madudu yake, mi mwanzoni aligoma kabisa kutunza nikamwambia poa nikaa kimya siku moja akatokea hm eti nimekuja mwona mtoto hakyanani hatokaa asahau siku ile na ndugu/wazazi nilishawaambiaga kwamba huyu mtu bora asuse milele asijetokea hapa na akitokea naomba kila mtu akae pembeni aniachie mwenyewe hiyo kazi. Na alipotokea kila mtu alibaki kimya tukabaki wenyewe. Alishika adabu mbona hawa bwana huwa wanakupima kwanza ili aone ukimchekea imekula kwako.
Muwahi huyo mj1 kabla mtoto hajatimiza miaka 7 kwani baadae unaweza jikuta mtoto unanyang'anywa wakati akiwa mdogo ulihangaika nae peke yako shaurilo.
nyamayao dada yangu nilikuwa nimecross fingers usiingie humu maana najua ningekuwa karibu yako ningekula vibao.
Nawasoma but nashukuru mmenizindua usingizini.
halafu m2 utaachaje kum2nza mwanaoo but unataka kujua anaendeleaje? nanni anakusaidia kum2nza? ovyooo kabisa....halafu MJ1anaulizwa mbona nguo za baby ni zile zile bado 2 hajammwagia hata maji yaliyopo karibu, yaani kaja mikono mi2pu na maswali ya kijinga juu? MJ1 huyu kaka ni mzigo na anjua jinc ya kukuchezea haswa, hana mapenzi hapo aache kujiliza liza yamemshinda huko ndio kakumbuka shuka wkt kunakucha....ndugu waweke pembeni kwenye hili saga then chukua maamuzi yako mwenyewe kwa faida ya maisha yako/mtoto wako....na kweli wanaangaliaga pa kuchezea, mie mbona kumkimbiza uchi ningeweza pia.
ulimpenda/ullimjali/ukamdhamini/akauchezea moyo wako/akamtelekeza na mtoto....huyo mwanaume wa kazi gani kama wewe ndio kidume ndani (unam2nza mtoto/msomesha etc)....huyu bwana alivyoenda hakutegemea mambo yangeenda kombo sasa yameenda kombo ndio anatafuta pa kujifichia....na ningekunasa vibao uamue moja chap chap....unamrudia/humtaki tena...stori ingekuwa imeishaga 2nasonga mbele na ishuz nyingine za maisha, sasa wewe huyu huyu kila cku wa kumfikiria na kukupasua kichwa na maamuzi huchukui, u have only one life 2 live.....
pole ram...hapo ungekuwa choka mbaya walaaa acngekusumbua kabisa, ndio kwanza angejicfia kwamba alikuwa kila ki2 kwako, sasa mambo poa kinamuuma! hawa viumbe hawa bac 2.
Habari yako bro. naona upo busy na jukwaa la katiba.
Vp wewe shemeji yetu yule wa zamani hamuendelezi urafiki?
Hili lisredi limenipitaje?
Kwangu mie:
Ni possible kama kutakuwa na mkakati wa kurudiana......... Yaani lazima yale ma SRM yakumbukwe na yafanyiwe kazi
Ila
Ni impossible kama vigezo na masharti ya yale ma SRM hayatazingatiwa.
Ushauri wangu: Bibiye, sahau yaliyopita. Piga moyo konde rudianeni na mzazi mwenzio. Maisha ya upweke yashakushinda, na moyo wako bado umeacha vipande kwenye moyo wake.Tii kiu yako. Acha penzi lionyeshe njia!
Na hili ndilo neno la ODM.
Mbu, maumivu ya kichwa huanza taaratibu, unayaskia yanagonga kwa mbaaali sana
Kingine ni kweli it matters mliachana vipi though wengi wanaachana vibaya; Suala la msingi je mme move on?; mme let it go? Sioni sababu ya watu kuwa maadui kama hasira zilishaisha na hakuna mtu anaye mfeel mwenzie tena.
SI vizuri kuwa maadui wakati mnashare watoto. Ndio kuna hasira lakini nategemea baada ya muda zinaisha; na mnabaki friends for the sake of your kids.