Is It Possible, Mgombea wa CCM kwa 2015 ni Nchimbi?!. Yule "Jamaa Yangu" ni "Yohana Mbatizaji Tu?!.

Hivi alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alifanya madudu gani vile.

does it matter to CCM these days? the answer is NO!

baada ya Mwalimu kuondoka dunia hii, corruption imekuwa ndiyo common denominator kwa candidates wote wa CCM. ikulu sasa imekuwa ni kijiwe cha watu kwenda kupiga madili as a result.

simply put, in practice uadilifu siyo kigezo tena kwa candidate wa CCM, ingawa kipo tu on paper.

kwa hiyo siyo ajabu kusikia majina kama Msabaha, Karamagi, Nchimbi, Ngeleja, Maige, Lowasa, hata Rostam yakitajwa kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015.
 
Tanzania = "african Colombia in the making" kama ajaye ni huyo Nchimbi.
 
Tatizo hamjui nini maana ya MTANDAO, IF YES WHY NOT!? NIA SABABU NA UWEZO ANAO TUTAHESHIMIANA TU WAKATI UKIFIKA.

Daaah! Dicky ungechuna tu na hii coment yako hasa hapo nilipo bold blue umejiweka kweupeee. Najua mtajwa ni jamaa yako na kuna baadhi ya biashara mnafanya wote ukiachilia mbali ya kupitishia magari Zanzibar kwa dili na yeye kukufanyia fast track ya kibali chako cha ile kitu unaficha chini steering wheel. Kweli umepania ndugu yangu muda ukifika watakuheshimu hao madogo waliobaki Mwanza unaotaka wakuheshimu. Mimi nilishahama Mwanza hivyo heshima yangu hutoipata.

Am out..
 
Mkuu Omu, asante kwa hii kitu, ila kiukweli kuna kitu bado sikielewi kwenye hizi groupings!, nijuavyo mimi the main financial wa kambi ya "jamaa yangu", ni yule yule financial wa JK na mtandao wake!, ndio the same financial wa Januari, Ngeleja na Nchimbi!, how does this look?!. Mfadhili huyo ni none other than "the king maker!", 2005, he made JK!, now how many kings does he want to make?!.

Pasco.

That's a FACT. He is like Americans; they only have permanent interests not friendship! Na kwa taarifa ni kwamba "King Maker" ndiye aliyemjulisha Jamaa yako kwamba JK kamwambia amsaidie John kifedha katika azma ya kuelekea magogoni. This time King Maker hataki kabisa kukosea kama ilivyomtokea Kenya. Kwa hiyo amewekeza si tu katika hizi kambi mbili za chama kimoja bali ameishaingia hata katika vyama pinzani.

Pasco usishangae, vitega uchumi vilivyo chini ya Portifolio Manager huwa havijuani bali Manager ndiye huvijua kwa kuwa chini yake anao Investment Officers/Managers na hawa ndiyo wako in touch na vitega uchumi on daily basis!
 
Pasco kwa nini unajitahidi sana kuidanganya nafsi yako?

Unajua nakuonea huruma sana rafiki yangu kwakuwa huna mahali uliposimamia.

Mara leo utampigia promo jamaa yako mara kesho utageuka na kuonyesha joka lina nguvu,

Leo mmekaa mnagida Serengeti mlevi mmoja anakutajia jina la Mhuni Nchimbi na wewe umelichukua umelileta jamvini.

Mimi nikikusoma Pasco ni kuwa unataka kuuaminisha umma kuwa president ni lazima atoke CCM. Na mradi wako ni kuchanganya akili za watu kujadili majina badala ya masuala.

Kwa 'kichwa' ulichonacho Pasco wewe sio wa kujadili watu. Pasco sio wa level hiyo. Hiyo ajira mwachie Manyerere Jackton. Wewe jikite kwenye ku adress issues. Watanzania wanataka nini?
Watanzania wamechoshwa na nini? Na nani kayasababisha? Kama mgonjwa wa tezi dume amefanya urahisi kuwa rahisi sasa tujadili masuala.

Sasa wewe mwenyewe unamhara Joka, mara una mhara Nchimbi, Mara unamhara Pinda, na kuna wakati unamhara Asha Migiro. Akili zako zinataka kutu drag tufikirie watu tena wa CCM tu na sio isdue.

Hii sio sawa sawa. Pasco sisi wadogo zako tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako please usitufundishe political spinning.

Asante
 
Last edited by a moderator:
Pasco kwa nini unajitahidi sana kuidanganya nafsi yako?

Unajua nakuonea huruma sana rafiki yangu kwakuwa huna mahali uliposimamia.
  1. Mara leo utampigia promo jamaa yako mara kesho utageuka na kuonyesha joka lina nguvu, Sasa wewe mwenyewe unamhara Joka, mara una mhara Nchimbi, Mara unamhara Pinda, na kuna wakati unamhara Asha Migiro. Akili zako zinataka kutu drag tufikirie watu tena wa CCM tu na sio issues.
  2. Leo mmekaa mnagida Serengeti mlevi mmoja anakutajia jina la Mhuni Nchimbi na wewe umelichukua umelileta jamvini.
  3. Mimi nikikusoma Pasco ni kuwa unataka kuuaminisha umma kuwa president ni lazima atoke CCM.
  4. Na mradi wako ni kuchanganya akili za watu kujadili majina badala ya masuala.
  5. Kwa 'kichwa' ulichonacho Pasco wewe sio wa kujadili watu. Pasco sio wa level hiyo. Hiyo ajira mwachie Manyerere Jackton. Wewe jikite kwenye ku adress issues. Watanzania wanataka nini?.Watanzania wamechoshwa na nini? Na nani kayasababisha? Kama mgonjwa wa tezi dume amefanya urahisi kuwa rahisi sasa tujadili masuala.
  6. Hii sio sawa sawa. Pasco sisi wadogo zako tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako please usitufundishe political spinning.

Asante

Mkuu Mzito K, asante, maneno makali haya yamenigusa hadi kunichoma!.

  1. Human beings are not static!, they are dynamic!, and hence they change with time!. Mimi ni kama bendera tuu, nafuata mule upepo unapovuma!.
  2. Mimi kama mwanahabari, kazi yangu is just to inform chochote ninachosikia!, sio kazi yangu ku determine kama kitatokea au laa, hiyo nakuachia wewe, nikisikia, nasema!, na hata kesho, nikiwa kwenye kilabu cha piwa, au chang'aa, nikasiki "mgombea wa CCM kwa 2015 ni Mzito Kabwela", kama huyo niliyemsikia ni "reliable source", then naleta humu!. Nimekutana na mwana CCM "insider", amenieleza kuwa "jamaa yako" ni "pace maker" wa "the chosen one!", na "the chosen one" ni Dr. Emanuel Nchimbi!, it's news to me, it's fit kuingia humu!.
  3. Hili la rais lazima atoke CCM, ni facts, na sio mimi!, alianza Nyerere kulisemea, hebu na tende kwenye the facts at hand, niambie kati ya wana UKAWA wote, nani anaweza kuwa rais wa nchi hii?!, tuache kujifurahisha kwa matumaini hewa!. Hata hivyo kuna mahali nimekiri kuwa wakiungana kwa dhati, na kumsimamisha yule "jamaa yangu" ambaye atakuwa amekataliwa kule!, then, this is the only possibility!, vinginevyo 2015, ni CCM Tena!. Kubali, Kataa!.
  4. Hili la kujadili majina nalo neno, ukizama kwenye uzi huu, umeanza kwa swali?, "is it possible?!", yaani nimetanguliza kuulizia hiyo possibility ya Nchimbi, watu walipaswa kuja na majibu, ya yes it is posible!, kwa sababu a,b,c,d..and if it is not possible, why not?!. Nimekuja na hoja ya "jamaa yangu" kuwa ni Yohana Mbatizaji!" , kweli huyu ni "Yohana Mbatizaji?!", kweli hizi efforts zote zinazoonekana kuendelea ni kweli ni za kusafisha njia tuu ili "fulani" apite salama?!, au anasafisha njia apite yeye kwanza, huyo fulani ndio amfuatie baada ya one term?!. Hizi zote mbili ni issues na sio majina tuu!.
  5. Hili la issues Watanzania wanataka nini nalo neno!, mimi nilianza kwanza kazi ya uandishi mtaani, ndipo nikaja kwenda Mlimani, "from streets to the Hill!". Nikiwa mtaani niligundua Watanzania wengi zaidi wanasoma zaidi magazeti ya udaku "tabloid" kuliko yale "main stream", nikajifariji kwa vile mfumo wetu wa elimu mwisho ni darasa la saba!, hivyo wengi wa wasomaji haya magazeti ya udaku, ni STD Leavers!. Nlipofika Mlimani, sikuamini nilikuta na kushudia kwenye meza ya magezeti ya Chuo, magazeti ya udaku ndio yanayonunuliwa sana na ndio ya kwanza kuisha!, huku magazeti serios yakidoda!. Nikafikia conclusion, hiki ndicho Watanzania wanachotaka!. Safari ya JK kelekea Ikulu aliianzia hapo Mlimani!, hebu jiulize watu alioshinda nao ndani ya CCM, amewashinda kwa vigezo vipi?, hebu mfikirie watu aliogombea nao urais, amewashinda kwa vigezo vipi?, hicho ndicho Watanzania wanachotaka!. Na baada ya kumaliza chuo, nilipaswa kwenda kufanya nilichoseomea, ila nikajikuta, napenda zaidi kukaa mtaani, hivyo I'm back to the streets!, na hizi ndio issues zetu huku mtaani!.
  6. Hii imeniingia kisawa sawa na naifanyia kazi.
Asante!.

Pasco.
 
Pasco kwa nini unajitahidi sana kuidanganya nafsi yako?Unajua nakuonea huruma sana rafiki yangu kwakuwa huna mahali uliposimamia.Mara leo utampigia promo jamaa yako mara kesho utageuka na kuonyesha joka lina nguvu, Leo mmekaa mnagida Serengeti mlevi mmoja anakutajia jina la Mhuni Nchimbi na wewe umelichukua umelileta jamvini.Mimi nikikusoma Pasco ni kuwa unataka kuuaminisha umma kuwa president ni lazima atoke CCM. Na mradi wako ni kuchanganya akili za watu kujadili majina badala ya masuala. Kwa 'kichwa' ulichonacho Pasco wewe sio wa kujadili watu. Pasco sio wa level hiyo. Hiyo ajira mwachie Manyerere Jackton. Wewe jikite kwenye ku adress issues. Watanzania wanataka nini?Watanzania wamechoshwa na nini? Na nani kayasababisha? Kama mgonjwa wa tezi dume amefanya urahisi kuwa rahisi sasa tujadili masuala.Sasa wewe mwenyewe unamhara Joka, mara una mhara Nchimbi, Mara unamhara Pinda, na kuna wakati unamhara Asha Migiro. Akili zako zinataka kutu drag tufikirie watu tena wa CCM tu na sio isdue.Hii sio sawa sawa. Pasco sisi wadogo zako tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako please usitufundishe political spinning.Asante
ulitaka atajwe Lekadutigitwe mwenzako? mbona unaargue kama vile hujawahi kula Dagaa kamanda!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mzito K, asante, maneno makali haya yamenigusa hadi kunichoma!.

  1. Human beings are not static!, they are dynamic!, and hence they change with time!. Mimi ni kama bendera tuu, nafuata mule upepo unapovuma!.
  2. Mimi kama mwanahabari, kazi yangu is just to inform chochote ninachosikia!, sio kazi yangu ku determine kama kitatokea au laa, hiyo nakuachia wewe, nikisikia, nasema!, na hata kesho, nikiwa kwenye kilabu cha piwa, au chang'aa, nikasiki "mgombea wa CCM kwa 2015 ni Mzito Kabwela", kama huyo niliyemsikia ni "reliable source", then naleta humu!. Nimekutana na mwana CCM "insider", amenieleza kuwa "jamaa yako" ni "pace maker" wa "the chosen one!", na "the chosen one" ni Dr. Emanuel Nchimbi!, it's news to me, it's fit kuingia humu!.
  3. Hili la rais lazima atoke CCM, ni facts, na sio mimi!, alianza Nyerere kulisemea, hebu na tende kwenye the facts at hand, niambie kati ya wana UKAWA wote, nani anaweza kuwa rais wa nchi hii?!, tuache kujifurahisha kwa matumaini hewa!. Hata hivyo kuna mahali nimekiri kuwa wakiungana kwa dhati, na kumsimamisha yule "jamaa yangu" ambaye atakuwa amekataliwa kule!, then, this is the only possibility!, vinginevyo 2015, ni CCM Tena!. Kubali, Kataa!.
  4. Hili la kujadili majina nalo neno, ukizama kwenye uzi huu, umeanza kwa swali?, "is it possible?!", yaani nimetanguliza kuulizia hiyo possibility ya Nchimbi, watu walipaswa kuja na majibu, ya yes it is posible!, kwa sababu a,b,c,d..and if it is not possible, why not?!. Nimekuja na hoja ya "jamaa yangu" kuwa ni Yohana Mbatizaji!" , kweli huyu ni "Yohana Mbatizaji?!", kweli hizi efforts zote zinazoonekana kuendelea ni kweli ni za kusafisha njia tuu ili "fulani" apite salama?!, au anasafisha njia apite yeye kwanza, huyo fulani ndio amfuatie baada ya one term?!. Hizi zote mbili ni issues na sio majina tuu!.
  5. Hili la issues Watanzania wanataka nini nalo neno!, mimi nilianza kwanza kazi ya uandishi mtaani, ndipo nikaja kwenda Mlimani, "from streets to the Hill!". Nikiwa mtaani niligundua Watanzania wengi zaidi wanasoma zaidi magazeti ya udaku "tabloid" kuliko yale "main stream", nikajifariji kwa vile mfumo wetu wa elimu mwisho ni darasa la saba!, hivyo wengi wa wasomaji haya magazeti ya udaku, ni STD Leavers!. Nlipofika Mlimani, sikuamini nilikuta na kushudia kwenye meza ya magezeti ya Chuo, magazeti ya udaku ndio yanayonunuliwa sana na ndio ya kwanza kuisha!, huku magazeti serios yakidoda!. Nikafikia conclusion, hiki ndicho Watanzania wanachotaka!. Safari ya JK kelekea Ikulu aliianzia hapo Mlimani!, hebu jiulize watu alioshinda nao ndani ya CCM, amewashinda kwa vigezo vipi?, hebu mfikirie watu aliogombea nao urais, amewashinda kwa vigezo vipi?, hicho ndicho Watanzania wanachotaka!. Na baada ya kumaliza chuo, nilipaswa kwenda kufanya nilichoseomea, ila nikajikuta, napenda zaidi kukaa mtaani, hivyo I'm back to the streets!, na hizi ndio issues zetu huku mtaani!.
  6. Hii imeniingia kisawa sawa na naifanyia kazi.
Asante!.

Pasco.

Pasco, nashukuru umemjibu vema kabisa huyu Kabwela; lakini nashangaa kuona kwenye majibu yako, pamoja na urefu wake wote, umepuuza kabisa kunitetea. Hapo awali Kabwela kajitahidi kuaminisha watu kuwa mimi ni wa kujadili watu au issue nyepesi nyepesi. Ni vema ungemweleza namna tulivyoshiriki na tunavyoendelea kushiriki kwenye ukombozi wa kifikra katika nchi hii. Anza na zama zile (za KITIMOTO) za uuzwaji wa ATC na mikataba feki kiasi kwamba mawaziri wakawa wanakosa majibu.
Suala la kutojadili watu kwenye urais wala usilikwepe. Watanzania tumeshajua changamoto karibu zote! Sasa ni wakati wa kuwataja hao tunaodhani kuwa wanaweza kuzikabili na kuwapa faraja njema Watanzania. Ni mtu wa ajabu asiyejua kuwa tunakabiliwa na pengo kubwa sana la kati ya walio nacho na wasio nacho, elimu yetu imeshuka sana; ajali zinaua watu wengi mno-na zinasababisha hasara kubwa; tuna changamoto ya kukabiliana na uchumi wa gesi-mafuta-urani, chuma, na kadhalika.
Tunakabiliwa na changamoto ya uhalifu, ukosefu wa huduma za afya kwa makabwela; ukosefu wa ajira unaotisha; wizi na ubadhirifu wa mali za umma uliovuka kiwango; na mengine mengi. Tunakabiliwa na changamoto wa ujangili, changamoto za utitiri wa viongozi wetu kusafiri nje ya nchi kila wiki; changamoto ya ukuaji wa miji yetu; changamoto ya Tanzania kuwa kati ya nchii 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi duniani, lakini ikiwa katika kundi la nchi 10 maskini zaidi duniani! Yote haya na mengine tunayajua. Sasa swali hili lazima tulijibu: "Nani wa kutuongoza ili kuyakabili haya yote?" Ukifika hapo, huna namna ya kuweza kukwepa kujadili watu! Ukijua mwanao anaumwa, hiyo ni changamoto. Jibu likakuwa "apatiwe matibabu". Kwenye matibabu, lazima ujue "nani daktari hodari wa kufaa kumpa tiba mtoto". Kujua hospitali pekee hakutoshi. Tumeshajua tunaumwa. Tunajua suluhisho ni kupata tiba. Swali, nani daktari wa kutufaa au kumponya mgonjwa wetu?
Pasco usiogope.
 
Kwa hali ilivyo sasa usishangae kusikia hata Livingstone Lusinde (Kibajaji), Prof Maji marefu, Muimba kwaya (Komba) na yule mcheza Kitorondo bungeni (Deo Sanga) nao ni wateule... Tanzania lolote lawezekana aisee,
 
Pasco, nashukuru umemjibu vema kabisa huyu Kabwela; lakini nashangaa kuona kwenye majibu yako, pamoja na urefu wake wote, umepuuza kabisa kunitetea. Hapo awali Kabwela kajitahidi kuaminisha watu kuwa mimi ni wa kujadili watu au issue nyepesi nyepesi. Ni vema ungemweleza namna tulivyoshiriki na tunavyoendelea kushiriki kwenye ukombozi wa kifikra katika nchi hii. Anza na zama zile (za KITIMOTO) za uuzwaji wa ATC na mikataba feki kiasi kwamba mawaziri wakawa wanakosa majibu.
Suala la kutojadili watu kwenye urais wala usilikwepe. Watanzania tumeshajua changamoto karibu zote! Sasa ni wakati wa kuwataja hao tunaodhani kuwa wanaweza kuzikabili na kuwapa faraja njema Watanzania. Ni mtu wa ajabu asiyejua kuwa tunakabiliwa na pengo kubwa sana la kati ya walio nacho na wasio nacho, elimu yetu imeshuka sana; ajali zinaua watu wengi mno-na zinasababisha hasara kubwa; tuna changamoto ya kukabiliana na uchumi wa gesi-mafuta-urani, chuma, na kadhalika.
Tunakabiliwa na changamoto ya uhalifu, ukosefu wa huduma za afya kwa makabwela; ukosefu wa ajira unaotisha; wizi na ubadhirifu wa mali za umma uliovuka kiwango; na mengine mengi. Tunakabiliwa na changamoto wa ujangili, changamoto za utitiri wa viongozi wetu kusafiri nje ya nchi kila wiki; changamoto ya ukuaji wa miji yetu; changamoto ya Tanzania kuwa kati ya nchii 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi duniani, lakini ikiwa katika kundi la nchi 10 maskini zaidi duniani! Yote haya na mengine tunayajua. Sasa swali hili lazima tulijibu: "Nani wa kutuongoza ili kuyakabili haya yote?" Ukifika hapo, huna namna ya kuweza kukwepa kujadili watu! Ukijua mwanao anaumwa, hiyo ni changamoto. Jibu likakuwa "apatiwe matibabu". Kwenye matibabu, lazima ujue "nani daktari hodari wa kufaa kumpa tiba mtoto". Kujua hospitali pekee hakutoshi. Tumeshajua tunaumwa. Tunajua suluhisho ni kupata tiba. Swali, nani daktari wa kutufaa au kumponya mgonjwa wetu?
Pasco usiogope.
Mkuu Kamanda, kwanza asante kuchangia na samahani kwa kutokutetea kule juu, aliposema hiyo kazi nikuachie wewe, nilidhani anamaanisha gazeti letu la Jamhuri, liking'ana na "mtu" haliachii hadi ang'oke!, hivyo ikanibidi ninyamaze tuu, ila thank God, makamanda wote ambao ni majembe wanajulikana!, sura yako ikionekana kwa baadhi ya press conferences, wanaweza kuahirisha!. Mimi kuna press conference ya mtu fulani, alitumwa mtu aniulizie ninaripotia wapi, nikamwambia mimi ni freelancer hivyo naweza kuipeleka popote hiyo story, nilifukuzwa!, japo kwa kistaarabu kuwa "unaombwa uondoke, kwa sababu ma freelance hawakualikwa!". Nilijiondokea!.

Hili la daktari bingwa wa kuiponya Tanzania hapa tulipo nalo ni changamoto!, kwa vile CCM inao mtindo wa kupepeta, inautupa mchele na kukumbatia makapi!. Kiukweli siku hizi nimekuwa muoga muoga, sijaweza kusimama imara kama nyinyi na gazeti lenu!, ila soon, nitasimama tena!, with nothing to loose!.

Thanks.

Pasco.
 
Pasco,
Nadhani hukupata kupitia huu uzi wa toka August, 2014 Kwanini John Nchimbi hatajwi kati ya watu walioanza mbio za urais?

Kama ilivyo Timu iliyochini ya uratibu wa Apson, ndivyo ilivyo Timu inayoandaliwa na JK. Ina kina Ngeleja wake na January wake-natumaini unanisoma. Apson wakija na wimbo wa "Ujana" Timu JK wanachomoa Kijana kuingia ulingoni, mkisema Waziri Mkuu vilevile wanaye. Lililo wazi katika safu ya Timu JK ni unafiki wa Mkulu katika kuwajaza matumaini wachezaji wake. Kama kawaida, kila mmoja anamuadaa na kumjengea mazingira kwamba ndiye chaguo lake. Pinda nasiki alikuwa mgumu kukubali ofa ya JK. Hata baada ya "NOVENA" imemchukua muda kusema "Niko Tayari" Gia za mwisho mwisho za JK zilizomu-win Pinda ni pale alipoambiwa Wawekezaji wakubwa na wafanyabiashata toka Mataifa makubwa wanataka kujua Rais mtarajiwa ili waweze kufanya maamuzi juu ya uwekezaji wa mitaji yao. Mkumbo huu unawahusisha Wamiliki wa Visima vya Mafuta a Gesi. Kwa hiyo JK akamjulisha Pinda kwamba jina lake tayari limepelekwa kwa Wakubwa wa dunia na hivyo ataanza kuandaliwa shughuli za ndani na ziara za nje kwenda kujiweka karibu na hao Mabwana. Kujua ukweli wa hili fuatilia ziara na Hotuba ya Pinda katika ziara yake Spain na UK. Sikiliza jinsi alivyokuwa anaongea na wawekezaji, akitoa muelekeo wa nchi na msimamo kama mtu mwenye mamlaka ya Serikali hii na ijayo. Anzia hapo.
Pasco,

Naomba kupandishia ushahidi wa nyongeza wa kile tulichopata kujadili juu ya Pinda na ziara za ndani na nje!

Rais Dr . Jakaya Kikwete ameendelea kumuamini Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumuwakilisha katika mikutano na kazi mbalimbali nje ya nchi ambazo nyingine alipaswa kwenda Rais mwenyewe. Wiki chache zilizopita Pinda alikua na ziara ndefu ya Uingereza, Poland na Dubai. Akiwa Poland waziri mkuu alifanikisha kupata mkopo nafuu utakaoisaidia Tanzania kujenga maghala mapya ya chakula. Akiwa falme za kiarabu alikutana na wawekezaji mbalimbali na kuzungumza nao juu ya kuwekeza nchini.

Wiki hii waziri mkuu Pinda aliondoka kwenda kwenye ziara ya nchi za Qatar na Falme za kiarabu. Huko amepanga kukutana na wawekezaji na kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo nchini. Ziara hiyo inatajwa kukatishwa kwa muda na Rais Kikwete baada ya kumuita Pinda kwa shughuli maalum.

Mwaka 2014 mwezi oktoba, waziri mkuu akimuwakilisha Rais Kikwete kuhudhuria mkutano wa uwekezaji barani Africa uliofanyika jijini London na kuhudhuriwa na marais mbalimbali wa mataifa ya Africa. Mkutano huo pia ulijadili fursa mbalimbali za uwekezaji ambazo ziko barani Afrika huku akikitaja kilimo, Usindikaji, Afya na Miundombinu.
Source: Rais Kikwete Amuamini Pinda
 
hivi nchi nzima na jimbo la songea mjini kipi kikubwa,kidogo akiangaliwi iweje nchi? hizi ni ndoto za asubuhi saa 5
 
yani jk na uwezo wake wa kufikiri, amemuona pinda anaweza anafaa kuwa rais?? hapa ni dhaihiri jk na washauri wake wana shida ya uwezo wao wa kufikiri!
 
Back
Top Bottom