Mke akae amkalishe kwa upendo waongee!
Huenda mama nae kashindwa kumpa mapenzi moto2 kama zamani...basi mama improve mapenzi kwa stilye tofauti...mwonyeshe kuwa wewe ni mke na umekamilika kama mwanamke!
Ni two way trafick...tusimlaumu tu huyu jamaa!
Akina mama mara nyingi wanajisahau!
Bellie, kimbembe ni kuwa atamwambiaje mumewe 'twende tukapime' out of the blues?
Kwa nini, kwa mfano, wasikae wakazungumza kuliko kusitishiana huduma gafla, kumbe wala hana iyo nyumba ndogo ila kwa kusitisha ndo anamfanya aitafute na ataipata! Ohoo
Hakuna ugumu wowote wa kumwambia, kwa sababu uamuzi wa kumyima tunda aliouchukua ni hukumu tayari ya kwamba mai hub wake amekuwa konekted. Katika hali ya kawaida ingekuwa kwamba amwambie waende wakapime vinginevyo hamgei tunda. Sasa yeye ni kama ameanzia mwisho. Tabu ninayoiona hapa ni iwapo mai hub wake akikubali kwenda kupima afu Mungu bariki wote wakawa hasi, namna ya kuifuta hiyo hukumu ya kunyimwa tunda ndo itakuwa tabu
sawa sawa......kinachonikera kwa wakina mama wakishaolewea ni kujiachia....suala la usafi unamkuta mwanamama akishajifungua hajijali nguo zote zinanuka maziwa ya mtoto haseti tena nywele zake......havai vipedo....na wananenepeana sana wanakuwa wavivuuuuTatizo kubwa ni kwa mwanamke moja kwa moja.
Wanawake wengi iwa wanajisahau wanajua kuwa wakisha olewa tu basi kazi imeisha
karibu hinsy......jamani nadhani wote ni wazima mimi mgeni japo sina kamba mguuni kwa hivyo nahitaji ushirikiano haswa mambo ya elimu,kuna jamaa nimeona amezungumzia maswala ya 'skolaship' so naomba more details jamnai hasa nchin danmark
Tatizo kubwa ni kwa mwanamke moja kwa moja.
Wanawake wengi iwa wanajisahau wanajua kuwa wakisha olewa tu basi kazi imeisha au safari ya maisha katika mapenzi imekwisha ambapo si kweli.
Utaona maufundi na maujuzi aliyo kuwa anamwonyesha mchumba wake kipindi cha uchumba basi anayaweka kapuni pindi akiolewa anasahau kuwa mapenzi katika ndoa ni ubunifu ili kumfanya mmeo asahau hata vimada wake wa long.
Sasa akiona manjonjo au mahanjamu yanapungua basi kama alikuwa anarudi saa 2 au 3 utaona tu dalili ataanza kurudi saa 5 au 6 kabisa sometime safari za kikazi zinakuwa nyiiingi kumbe mtu yupo Sinza anakula Ngwasuma kwa saaana tu huko Shinyanga sijui Mwanza safari inaishia Sinza hapo.
Wanawake badilikeni msijisahau mnapo olewa ujuzi au ufundi nijuavyo mimi hauzeeki.Kazi kwenu wanaume wenu wataendelea kuwatoroka na kuwaletea magonjwa ndani ya nyumba.