Is it fair?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it fair?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 4X4byfar, Feb 17, 2009.

 1. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2009
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamjambo waugwana!

  Jamani leo nimekuja na swali kutoka mitaa ya pili, kuna shoga angu jirani kamsitishia hubby mavituz, kwa hofi ya maambukizo kutokana na tabia ya huyo bwana ya kuchelewa kurudi hm aliyoonza huku akiwa anarudi amelewa na kumdanganya wife eti kachelewa kutoka offisini. Je ni sawa au kuna ushauri mbala tunaweza kumsaidia.
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Huyo shosti anahisi tu si ndiyo ila hana uhakika kama ana mgombea mwenza?
  Ili kutojiumiza zaidi na kumwacha hubby mpweke pia kuzuia asifanye kitu anachohisiwa zaidi, shosti na hubby waende kupima afya zao kuondoa wasiwasi wa magonjwa.
  Kama hubby ameanza kuchelewa kurudi home siku hizi inabidi bibie ajaribu kufikiria kunani?labda yeye ndo anamvuruga akirudi home mapema au kweli kazi imembana kutegemea na aina ya shughuli afanyazo.
  Mwisho mawasiliano ndani ya nyumba ni kitu kizuri,naamini hubby siku zingine halewi hivyo basi mwambie aongee naye kiurafiki zaidi ila kama bado upo. Amwuulize hubby nini kimebadilika pia ana hofu na mida anayorudi usiku huku kalewa. Akimyima mavituz hubby,atatafuta pengine maana anajua hapo home atapata hata baada ya mwezi.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Bellie, kimbembe ni kuwa atamwambiaje mumewe 'twende tukapime' out of the blues?

  Kwa nini, kwa mfano, wasikae wakazungumza kuliko kusitishiana huduma gafla, kumbe wala hana iyo nyumba ndogo ila kwa kusitisha ndo anamfanya aitafute na ataipata! Ohoo
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kaizer, ni kweli hapo kuna ugumu maana pia hali za wanandoa mbalimbali zinatofautiana kimaisha. Sijui achombeze vipi wakapime maana jamaa anaweza kupata hisia kumbe bibie ana mambo fulani. Hiyo ipo kiugumu zaidi!

  Kusitisha huduma siyo wazo zuri kwakweli,labda kama unavyosema wakae chini na kuongea maana jamaa hatakosa nje kama ndani kasusiwa. Ila haya mambo yana ugumu sana. Unaweza kumhisi mtu kumbe wapi hana kiburudisho chochote nje,unaishia kuumia na kumwadhibu mwandani wako.
   
 5. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ndio mambo ya ndoa hayo. Ukishajiingiza tu umejiweka kwenye risk, tena kubwa. Between married and unmarried maambukizi yako mengi kwa married/couples. Cha muhimu ajitahidi kumrudisha kwenye line kwa njia nzuri sio kumnyima mavituz, kwani hii itakuwa one way ticket ya kwenda/ama kutafuta nyumba ndogo.
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  hapo kwa kumnyima hajamtendea haki tena yeye anahsi tu, hisia zake zaweza kuwa za kweli ana sivyo, mie nilijuaga kabisa kuwa ana hawara but uwezo wa kumsitishia huduma nilikuwa sina, na kumwambia tukapime ukute akili ya mume ipo kushoto kama ya mume wangu mie basi ni balaa tena! atageuziwa kibao asiamini, ndooooaaaa du.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Feb 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hivi zile condom za kike (Care) zinafaa wakati gani?.... Ashakum si matusi lakini nadhani mtu akiwa amelewa si rahisi kuigundua au??
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  - Solution A
   
 9. D

  Dina JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2009
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tatizo la kusitisha huduma, ndio unampa tiketi ya kutafuta huduma kwingineko. Kuhusu suala la kupima, si akapime dada mwenyewe kwanza kama kuna ugumu wa kumshirikisha huyo bwana kwenye hilo? Kuna zile scenario kuwa mmoja wa wanandoa anakuwa ameathirika ili hali mwenzie hana, si zipo hizo? Ila swali langu kwa wataalam, kama mmoja ameathirika na mwingine bado, kama huduma zinaendelea (bila kinga), bado hakutakuwa na maambukizi?
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Feb 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dada Dina nakubaliana kabisa na wewe kuwa wifi aende akapime ila sasa kama akikuta bmzima haimaanishi kuwa kaka yetu ni mzima.... na kama huko nje anabadilisha taxi kila siku chance ya yeye kuambukizwa ni kubwa na tukumbuke kuwa sometimes rough nazo huweza kusababisha michumbuko ambayo ndio njia ya maambukizo kwa wifi yetu..... ni sawa atapima ila lazima kuwe na njia ya kumwelewesha kaka
   
 11. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Sasa Belinda,mbona umebadilisha heading ya topic aliyo-post 4X4?Hujui kama utakuwa unawapotosha wachangiaji?
  Naomba u-edit haraka ili watu wasije wakaona tunajadili kitu ambacho ni contrary na topic husika(material facts) na heading vinapokuwa tofauti,inaonyesha kuwa hukuelewa ulichoulizwa!!
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Perfect Bellie, unajua tena ugumu wa maisha siku hizi stress mtindo mmoja. Labda 4x4xfar angetuambia je labda bibie amejisahau majukumu yake na kujiweka kimvuto mvuto ila jamaa awe anavutika kuja nyumbani? Manake kuna kujisahau sometimes kwenye haya unajiona kwa vile umeshaolewa basi wewe ndo kila kitu kumbe unatakiwa kila siku uonekane'mpya'.
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Umbea mtupu.......wewe unakaa kujungua na shogako mambo ya ndani? nimechukia sana
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Feb 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Is it fair ina maana tofauti na Is it fare......... nadhani ndicho alichomaanisha ndugu kiuyajibu kwa Belindajacob
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  pole!
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mke akae amkalishe kwa upendo waongee!

  Huenda mama nae kashindwa kumpa mapenzi moto2 kama zamani...basi mama improve mapenzi kwa stilye tofauti...mwonyeshe kuwa wewe ni mke na umekamilika kama mwanamke!

  Ni two way trafick...tusimlaumu tu huyu jamaa!

  Akina mama mara nyingi wanajisahau!
   
 17. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2009
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! kweli JF bomba, jamani asanteni ntamfikishia ujumbe shost. Na wewe Yo Yo siju Ya Ya kwani hujui umbea snaa! toa mambo yako hapa. Wivu tuu, na wewe siutafute SHOSTILOLO wakiume umpe za kwako? Booh.
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kumbe nimetoka nje ya mada according to you?
  Pole ila kumbuka,watu wote humu ndani hatufanani kufikiri na siyo kila ushauri ni wa kuchukua. Mawazo yanatofautiana,hebu changia na wewe nijue kama tulimpata wote mlengwa.
  Sijamaanisha kukuchanganya,pole sana my friend!
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Sometimes watu wanakosea spelling za maneno iwe kiswahili/english. Kiuyajibu alisoma heading tu. Mimi nilisoma heading na yaliyomo kwenye hii thread.
  Thanx Mwanajamii1 kwa kutusaidia kwa hili.
   
 20. R

  Rogue Member

  #20
  Feb 17, 2009
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  swala zito..huyo jirani amepata ushahidi wa kutosha jamaa anacheat au anahisi?hapo ni mwendo wa pole pole
   
Loading...