<br />usipoandama mimi naacha kufunga<br />
najua nitakuwa nimekamilisha siku zangu 30.
mpaka nione mwezi mimi ndio nafungua, halafu naona kama kuna mawingu hapa - ikifikia saa kumi naenda mji wa jirani labda huko anga litakuwa clear nikauangalizie hivyo. Sheria inasema ni lazima uuone kwa jicho lako mwenyewe maana ingelikuwa kwa macho ya wengine nasi tungefuata mkumbo wa Saudi Arabia
hii inawahusu zaidi waislam??????? mmh1 KWELI WW NI MWITA!!Nadhani hii inawahusu zaidi waislamu
Wengi wetu hapa tuna uhakika 100% kuwa Iddi ni Kesho.
Kwani nani kawambia Mwezi utaandama Leo? je usipoonekana.
Naomba msinywe tena valuer kama jana mkijua kesho ni mapunziko halafu mwezi ugome kuonekana.