mischa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 368
- 176
Mnamo wiki iliyopita nilipigiwa simu ilisema anapiga kutoka African Gold Mine(AGM)akisema cv yangu imepita katika hatua nyingine kwahiyo wiki lijalo kuna interview iwapo ningependa kupita kwenye hiyo interview nitume hela ya maji ya kunywa huyo bwana Hamisi Rashidi na John Kulomo,je ni haki au dhuluma? AGM chunguzeni sana itawaharibia sura ya shirika.