Is Israel Already at War With Iran!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is Israel Already at War With Iran!?

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Jul 9, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Experts Believe Israeli Securitry Forces Are Hacking Into Iranian Networks


  By SIMON MCGREGOR-WOOD
  JERUSALEM, Israel, July 8, 2009

  Israel may have already started a war against Iran's nuclear program – not with bunker busting bombs and cruise missiles, but with computers.  [​IMG]


  Defense analysts believe Israel has been targeting the Islamic Republic's computer networks, to gather intelligence on the nuclear program and also to launch cyber attacks against it.


  "This has become a very important area in Israeli strategy, and it has to be taken into account," said Alon Ben David, an Israeli defense specialist. "It has become a more and more important element both for intelligence gathering but also for aggressive operations."


  Experts believe Israeli intelligence agencies have been hacking into Iranian computer systems in an effort to disrupt or contaminate networks with viruses and malicious software.


  "We came to the conclusion, for our purposes, a key Iranian vulnerability is in its online vulnerability," an unnamed recently retired member of Israel's security cabinet told the Reuters news agency. "We have acted accordingly."


  abcNEWS
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 9, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Good move! It is a bloodless war. No innocent casualties!
   
 3. S

  Shamu JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iran exits over 10,000 years, while Israel only 60 years. Israel wasted their time to mess with Iranian. Iranian people are very smart for this *****.
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Bado hauongei logic bali ushabiki. Sasa kama Iran ipo kwa miaka 10,000 na Israel miaka 60? So what? Pili, Israel ipo tokea biblical times.
   
 5. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Issue sio ushabiki kuhusiana na sophistication ya technology wala nani kawepo mwanzo au mwisho au nani kawepo kutokana na ku-write off a nation before it au nani kawepo alipo tangu asili yake. Kwani haya hayajulikani???Haya yote yanajulikana. Lakini ni juzi tu hapa, sio zaidi ya wiki 2 au 3 IAEA wametoa tamko kuhusiana na Iran na accusations za Magharibi juu ya nuclear weapons. Nani ambae aliyekuwa hakusikia??? anyooshe mkono.

  Suala hapa ni nani MGOMVI na nani MCHOKOZWA? Hebu fikiria wewe kama hivyo wafanyavyo wao, wangefanya waIran against wao katika time hii? ingekuwaje??? Ile remote control yao (UN) si ingeshaitisha mkutano ndani masaa 24? na ulimwengu mzima kubabaishwa kwamba tumo ndani ya hatari?

  Mwenyezi Mungu katu hawaongozi wagomvi na viburi, ila huwaacha tu wapande juu, juu na juu zaidi kiasi kwamba ifikirike that is it, this is invincible!!! ili kuanguka kwao kuwe very significant mbele ya macho ya kila mtu.

  Na tuone kama hii sophistication itafika down to what? ili roho za watu zisipotee.
   
 6. S

  Shamu JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That is logic over 10000/60. I mean, Iran ni Shia Muslim ambao wamesambaa ktk Mideast yote. Sasa unapozumgumzia nchi yenye watu 6mil(Israel) na Iran 60mil +(Shia muslim at the region over 100mil) unaona wapo sawa?. Wairan wana nuclear site kila kona ktk nchi. USA mpaka leo hawajui ni site gani ambazo zipo hizo nuclear. Israel wanajisumbua kwa their low class cyber attacks. Huu si ushabiki ni TRUE; ndiyo maana USA hawaipi ok Israel to bomb Iran.
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Sasa mkuu nashindwa kukupata kidogo. Maana you talk about the age of the countries halafu their populations. Lakini what does all that have to do with anything? Israel might not dare attack Iran but Iran wouldn't dare do the same also. Whenever the are nuclear weapons involved everyone tries to avoid confrontation. Only a fool would initiate a nuclear war.
   
 8. S

  Shamu JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Age of the country equals POPULATION, Dah!!. That is logic!!
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  The sham of all this issue is who has the right to dictate to who about nuclear proliferation? Israel has the bomb. The US has the bomb. Pakistan and India have the bomb. Sasa ni nani aliye na haki ya kumkataza nani asiwe na bomb? That is the question, as far as I am concerned.
   
 10. S

  Shamu JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  No one has a right to dictate other. However, if you have a nuclear power it means that you have the ability to influence the behavior of others and it is security insurance. Pakistan had a nuclear bomb in order to defend itself from India. And Cold war between USA and Russia it was the same thing. In addition, most people don't realize that, Iran feels more threat from Israel than Israel feel towards Iran. Israel direct most of their nuclear bomb towards Iran. Iran and Israel they are about power. Israel wants to be a super power in the Mideast, in the mean time Iran feels the same way. Tatizo jingine ni kwamba Iran ni Shia Muslim. Kama Iran ikiwa na Nuclear bomb Saudi Arabia, Egypt (Sunni Muslim) wataanza beef na Iran. Kwa sababu Wasaudi na Waigypt hawataki Shia Muslim to be majority at the region.
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Jul 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  This isnt about existence, it is about cyber war!
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jul 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwani mwaka 1967 Israel ilipigana na nchi za kiarabu kwa muda wa siku sita na kuzishinda vibaya, kwani nchi hizo zilikuwa na watu wangapi? Vitisho vya Iran havitofautiani na vya Iraq wakati wa Sadam Hussein, yuko wapi sasa? Hao washia walikuwepo hata miaka ya 1948 tangu Israel ilipoundwa upya na hawakufanya chochote cha maana!
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Umeshazungumzia nuclear war na population sasa gusia cyber war. Hata kama nuclear sites ziko nchi nzima Iran, nafikiri sio tatizo kuziattack zikijulikana. Na kwa nini unafikiri ni low class cyber attacks?
   
 14. afkombo

  afkombo Member

  #14
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Pakistan had a nuclear bomb in order to defend itself from India ___Tick
  And India had a nuclear bomb(b4 pakistan) in order to defend itself from who?
  And Cold war between USA and Russia_____Tick
  China had nuclear to defend itself from FRANCE???
  North Korea had nuclear to defend itself from UNITED KINGDOM????
  Israel is also widely believed to have nuclear weapons, though it has refused to confirm or deny this!!Check hapa
  [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_states_with_nuclear_weapons[/ame]

  What if Iran wants to defend itself from Israel?
  Kwa nini huyo aliyeiruhusu Pakistan kuunda nuclear kwa ajili ya India asiiruhusu Iran kwa ajili ya Israel?? THINK AGAIN
  "Saud Arabia na Egypt hawataki Shia Muslim to be majority" What is the relation between Nuclear weapon and majority??Au unafikiri Iran akiwa na Nuclear then Sunn Muslim watabadilika na kuwa Shia then Egypt na SA zitakasirika???THINK AGAIN
  Kwa kigezo kipi kwamba Iran akiwa na Nuclear basi SA na Egypt wataanza beef na Iran??THINK AGAIN
  Kama UN wako serious basi waamrishe Nchi zote zinazomiliki Nuclear ziharibu mabomu yao ili mchezo uishe lkn suala la kusema fulani ana haki ya kuwa nayo na mwingine hana,hili litatupeleka pabaya.
   
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Fahamu kuwa Wairan si Waarabu... Wao ni Waajemi. Israel alipigana na Waarabu na si Waajemi.
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wacheni ushabiki... Mbona hamshabikii kuwa Waafrika tulikuwepo kabla ya hiyo biblical times ku exist!
  Soma tena historia ya ulimwengu, then utakuja gundua kuwa Abraham alikuwa akiishi mitaa hiyo hiyo karibu na Iran...!

  Suala linalotakiwa hapa ni amani tu na si kuanza tabia ya kuchokoana chokoana, ili kutafuta visababu vya kuingia kwenye magomvi.
   
 17. m

  msabato masalia Senior Member

  #17
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Cyber war!!!!!!!!!!!!!!!
  Ndiyo maana wa-Danish wamekwenda kwenye public poll kukataa kutumiwa documents na bill kwa internet,ni posta kwa kwenda mbele.Tutarudi kule,hata internet shopping ishakuwa noma.Maendeleo!!!!!!!!!Kulalaleki
   
 18. S

  Shamu JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  afkombo,
  Ukiwa na Nuclear power or bomb kila nchi itakuheshimu bila ya kuingilia siasa za nchi. Ndiyo maana Nuclear bomb inaitwa Security Insurance. I'm not oppose Iran to obtain a nuclear energy or bomb. On the other hand, Shia Muslim to dominate the region is more about theory. Kama Iran itakuwa na Nuclear bomb nchi kama Saudi Arabia, Egypt (Sunni Muslim) zinahofia Shia Muslim kudominate the region.Kwa mfano, Hezbollah itakuwa na sauti kubwa ktk region kitu ambacho Saudi na Egypt wanahofia. Sasa hivi, Iran ni moja kati ya nchi inayoisadia sana Hamas bila ya kuogopa USA. Tatizo jengine ni, utawala wa Hosni Mubaraka na King Fahd utakuwa mashakani kwa sababu ni vibaraka wa USA.
   
 19. S

  Shamu JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Because there is NO results. Waisrael wamejaribu hizo cyber attacks tangu wakati wa Bush, na wameshindwa kufanya jambo lolote la maana (I mean to stop the Iranians from building their nuclear energy or bomb).
   
 20. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2009
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  X-Paster:-
  "... at War With Iran!?"

  Shamu:-
  "Iran exits over 10,000 years, while Israel only 60 years. Israel wasted their time to mess with Iranian. Iranian people are very smart for this"

  Mwanafalsafa:-
  "Bado hauongei logic bali ushabiki. Sasa kama Iran ipo kwa miaka 10,000 na Israel miaka 60? So what? Pili, Israel ipo tokea biblical times".

  Buchanan:-
  "Good move! It is a bloodless war. No innocent casualties!"

  M-Joka:-
  Issue sio ushabiki kuhusiana na sophistication ya technology wala nani kawepo mwanzo au mwisho au nani kawepo kutokana na ku-write off a nation before it au nani kawepo alipo tangu asili yake. Kwani haya hayajulikani???Haya yote yanajulikana. Ni juzi tu hapa, sio zaidi ya wiki 2 au 3 zilizopita IAEA wametoa tamko kuhusiana na accusations za Magharibi dhidi ya Iran juu ya nuclear weapons. Nani ambae aliyekuwa hakusikia??? anyooshe mkono.

  Suala hapa ni nani MGOMVI na nani MCHOKOZWA? Hebu fikiria wewe kama hivyo wafanyavyo wao with impunity, na kutoa habari ambazo kwa maana nyengine zina maana ya kujitangaza na kujifaharisha kama vile waonekane wako very technologically advanced, hivi wangefanya waIran against wao katika time hii? ingekuwaje??? Hivi ile remote control yao (UN) si ingeshaitisha mkutano ndani masaa 24 kuilaani Iran? na ulimwengu mzima kubabaishwa na kudanganywa kwamba tumo ndani ya hatari?

  Katu Mwenyezi Mungu hawaongozi wagomvi na viburi, ila huwaacha tu kwa muda wapande juu, juu na juu zaidi kiasi kwamba waweze kufikia katika kilele cha kiburi chao na wajihisi na ionekane kama vile wao ni invincible!!! Hapo tena ndipo Menyezi Mungu awaondoshee balance, waanguke pua ikitangulia kwanza mbele ya macho ya kila mtu. Bila kufikia kileleni kuanguka kwao hakutokuwa significant.

  Na tuone kama hii sophistication yao itafika down to what? ili roho za watu zisipotee.
   
Loading...