Is he worth a second chance?

Is he worth a second chance?

Does that means that you didn't get another stand all this time? What about him? If you have been "singles" all this time, then give it a try.
 
Moyo wa mtu kichaka, ila atakuwa anajutia sana by now ndio maana ameamua kurudi, unajua bhana katika maisha yoyote yale mazoea ndio yanayoleta tabu, mtu umeishi nae kwa muda wa miaka mitatu mnakuwa mumezoeana kama mapacaha vlie alafu ghafla unamiss his or her presence inakuwa inachanganya sana, msamehe bhana i think he deserve second chance after all umekuwa single kipindi chote hicho nafkiri there is still a chance
 
are you in a relationship now????? if not give that hore a second chance ........but don't expect any thing special from him (tabia zake na kila kitu unakijua usitegemee muujiza hapo)

ushauri wangu mkubalie alafu mapenzi yakinoga mcheat tena mcheat na mimi
 
mpe chance nyingine but kuwa nae makini sana always remember to follow your heart but dont be stupid enough to allow him to cheat on you again...coz people say if u cheat me once its your mistake but if you cheat me twice shame on me.
 
are you in a relationship now????? if not give that hore a second chance ........but don't expect any thing special from him (tabia zake na kila kitu unakijua usitegemee muujiza hapo)

ushauri wangu mkubalie alafu mapenzi yakinoga mcheat tena mcheat na mimi

Hahahahaaa lol we kiboko ati
 
are you in a relationship now????? if not give that hore a second chance ........but don't expect any thing special from him (tabia zake na kila kitu unakijua usitegemee muujiza hapo)

ushauri wangu mkubalie alafu mapenzi yakinoga mcheat tena mcheat na mimi

Hahahah ntakua kilaza wa pili sasa....no I'm not in a relationship now. Asante kwa ushauri lakini
 
maelezo yako yanaonyesha u radhi kuendelea na mtu wako huyo unayempenda sana; naye anajua unavyompenda. kubadilikaaaa......labda. mi huwa siamini hiyo habari lakini naskia wapo waliobadilika ingawa saa nyingine wanakuwa wamebadili strategies tu. majibu kwa maswali yako ni haya ya rangi ya kibuluu hapa chini.

Kilichonifanya nije kwenu niombe mawazo yenu nashindwa kujua kama yupo serious? mahari na ndoa. Nini kitanihakikishia kua hataniumiza tena? imani yako tu binti.
 
Natumaini wanajamvi wote wazima...nimewamiss wote baada ya kuadimika kwa muda kidogo.

Back to the topic....Kuna kaka niliwahi kua na mahusiano nae miaka kama mitatu iliyopita, nilimpenda sana lakini tuliachana baada ya kugundua alikua ananicheat, niliumia sana kwani nilimpenda ila sikua na jinsi sababu alinidanganya.Maisha yaliendelea na nikamsahau kabisa. Yapata kama miezi miwili sasa huyu kaka amekua akiniandikia na kunipigia na bila kuchanganya maneno aliniambia anajutia kosa alilofanya na anaomba tuanze upya9 mwanzo aliomba msamaha nikamwambia nimemsamehe ila tusiendelee).Sijamkubalia ila nimekua nikimuuliza kwanini amerudi wakati alinichanganya akadai ule ulikua ni ujana unamsumbua na hakua amewaza kusettle bado ila sasa anataka kuoa na kutulia hivyo anaomba nimkubalie niwe nae.
Kwa upande wangu siwezi sema namchukia ila alichofanya nilichukulia kama challenge za mahusiano nika move on. Hivi amerudi kuna sparks na feelings kwake zinarudi ila siziamini ukizingatia tuko mbali nimemuambia tuwe tu marafiki (najipa muda kumsoma kama amebadilika naweza rudiana nae sipo kwenye mahusiano kwa sasa na kama nimpango wa Mungu huko mbeleni mengine yatakua.)
Kilichonifanya nije kwenu niombe mawazo yenu nashindwa kujua kama yupo serious? Nini kitanihakikishia kua hataniumiza tena?
Naamini wapo waliona experience ya urudiana na ex watanisaidia lakini na pia naamini people desrve a second chance if they earn it!
Nadhani nimeeleweka mnisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nimejitahidi kuwasilisha la moyoni. Natanguliza shukrani.

!
!
kama yuko sirias taratibu ziko wazi, aje kwenu ajitambulishe then akakutambulishe kwao muanze taratibu za kuwa mke na mume. Vinginevyo atakuduu then lapa
 
Hahahah ntakua kilaza wa pili sasa....no I'm not in a relationship now. Asante kwa ushauri lakini

kutembea na kilaza haimaanishi na wewe utakuwa kilaza wewe utabaki kuwa binti2013 mfana mzuri nina date na Tumboo mbona yeye hajawa kilaza???? (hataivyo nina mpango wa kumtema siku sio nyingi )

........I see u still have that feeling kwa jamaa kama bado unampenda mkubalie tuu sasa utafanyaje hahahahahahaha ninavyojua mimi sisi tunarudishaga "majeshi" kwa manzi wanasema ku"retreat" kwa sababu tunazozijua lakini sio kwasababu tumejuta (usiombe kuzijua hizo sababu)

..........
 
Last edited by a moderator:

Excellent
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume akikucheat akakurudia hua ana pause tu..... then mkishakua stable ana rud kule kule...... but kama bado unampenda mwambie muoane tho hataacha kucht ila atleast utakua umewekwa ndani
 
mkuu anayewekwa ndani ni mwanaume au mwanamke.......
 
kutembea na kilaza haimaanishi na wewe utakuwa kilaza wewe utabaki kuwa binti2013 mfana mzuri nina date na Tumboo mbona yeye hajawa kilaza???? (hataivyo nina mpango wa kumtema siku sio nyingi )

........I see u still have that feeling kwa jamaa kama bado unampenda mkubalie tuu sasa utafanyaje hahahahahahaha ninavyojua mimi sisi tunarudishaga "majeshi" kwa manzi wanasema ku"retreat" kwa sababu tunazozijua lakini sio kwasababu tumejuta (usiombe kuzijua hizo sababu)

..........

Uniteme kwani mm cheche ay mi pipi???
 
Last edited by a moderator:
Natumaini wanajamvi wote wazima...nimewamiss wote baada ya kuadimika kwa muda kidogo.

Back to the topic....Kuna kaka niliwahi kua na mahusiano nae miaka kama mitatu iliyopita, nilimpenda sana lakini tuliachana baada ya kugundua alikua ananicheat, niliumia sana kwani nilimpenda ila sikua na jinsi sababu alinidanganya.Maisha yaliendelea na nikamsahau kabisa. Yapata kama miezi miwili sasa huyu kaka amekua akiniandikia na kunipigia na bila kuchanganya maneno aliniambia anajutia kosa alilofanya na anaomba tuanze upya9 mwanzo aliomba msamaha nikamwambia nimemsamehe ila tusiendelee).Sijamkubalia ila nimekua nikimuuliza kwanini amerudi wakati alinichanganya akadai ule ulikua ni ujana unamsumbua na hakua amewaza kusettle bado ila sasa anataka kuoa na kutulia hivyo anaomba nimkubalie niwe nae.
Kwa upande wangu siwezi sema namchukia ila alichofanya nilichukulia kama challenge za mahusiano nika move on. Hivi amerudi kuna sparks na feelings kwake zinarudi ila siziamini ukizingatia tuko mbali nimemuambia tuwe tu marafiki (najipa muda kumsoma kama amebadilika naweza rudiana nae sipo kwenye mahusiano kwa sasa na kama nimpango wa Mungu huko mbeleni mengine yatakua.)
Kilichonifanya nije kwenu niombe mawazo yenu nashindwa kujua kama yupo serious? Nini kitanihakikishia kua hataniumiza tena?
Naamini wapo waliona experience ya urudiana na ex watanisaidia lakini na pia naamini people desrve a second chance if they earn it!
Nadhani nimeeleweka mnisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nimejitahidi kuwasilisha la moyoni. Natanguliza shukrani.

Unachotaka kufanya is reading the same story book again...it will have the same ending...so akili kumkichwa
 
pole sana kwa yaliyokukuta but kwa maswali uliyouliza ni magumu kidogo,wewe ndo unamjua vizuri,unajua akisema uongo huwa anakuwaje na akisema ukweli huwa anakuwaje,sisi wengine huku tutapiga ramli tu kukisia majibu but listen to your heart
 
Back
Top Bottom