Is He a Leader or a Ruler? / Huyu ni Kiongozi au Mtawala?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,416
39,493
Habarini Wadau,

Aisee kumbe kuna tofauti kubwa sana kati ya Kiongozi na Mtawala.

Kiongozi anaongoza na mara nyingi huwa anachaguliwa.

Mtawala mara nyingi anacontrol, anaforce, anadirect n.k

Pia nimesoma sources mbalimbali kuwa Madikteta wengi duniani ni watawala sio Viongozi at all.

Kumbe inawezekana nchi isiwe na Rais Kiongozi ila ni Rais mtawala?

Huyu wa kwetu ni KIONGOZI au MTAWALA?

Naomba kueleweshwa.
 
Ngoja waje wenyewe hapa.
 
Tanzania hatujawahi kupata Kiongozi. Kiongozi habagui,hachukii,harudishi kisasi.Kiongozi anaonhoza watu toka point A kwenda B.Kiongozi anaunganisha na si kutenganisha.
 
Back
Top Bottom