Circular reasoningYou can't push a car to move while within the car like you can't prove to an atheist the existence of God using the bible!
Unaweza kuwa more clearly how do you know that God exists,?Human sciences still require to reach the level where they can be able to answer those questions without having to rely on pure faith!
Gravitropism & phototropismUpo shambani unapanda maharagwe,
Unachimba shimo unatupia mbegu ya maharage kwenye shimo kisha unafukia unamaliza kupanda unarudi zako nyumbani.
Kwa bahati mbaya wakati unatupia zile mbegu kuna baadhi ya MACHO ya mbegu yalikuwa yanatazama Juu badala ya chini...cha ajabu ukija baada ya siku 3 utakuta mbegu zote (Zilizogeuza macho juu na zilizo elekeza macho chini)Zote zimeota.
NANI ALIYEZIGEUZA ZILE MBEGU ZA ZILIZOTAZAMA JUU ZIELEKEE CHINI NA KUTOA MZIZI KISHA MBEGU KUOTA?
Soma Quran Surah Al-Waaqi‘ah (56:63–64)
Why do you need to proveYou can't push a car to move while within the car like you can't prove to an atheist the existence of God using the bible!
Defensive moveWhy do you need to prove
the existence of your God to atheists?
Wisdom mzee Neuro-studies Zina deal na nini? Watu wanafumuliwa vichwa tunathibitisha akili ipo, wanasayansi wanaweza kutibu hata mshipa mdogo wenye shida ndani ya ubongo??? Yet not everything can be compared we live by being programmed whereby with human ability to reason helps us to make decision.“Kutokumwona Mungu kwa macho, haimaanishi hayupo.
Kama vile hauoni akili, lakini unajua ipo kwa matendo yake.”
Nitajie mkulima gani aliyewahi kuyengeneza hizi kanuni?Gravitropism & phototropism
Watu wa imani wanafeli sna kufanya imani iwe ni hoja ya ukweli na hakika , wakati hata lengo la imani sio hiloWisdom mzee Neuro-studies Zina deal na nini? Watu wanafumuliwa vichwa tunathibitisha akili ipo, wanasayansi wanaweza kutibu hata mshipa mdogo wenye shida ndani ya ubongo??? Yet not everything can be compared we live by being programmed whereby with human ability to reason helps us to make decision.
Nadhani bado unarudi kulekule kwenye source nenda direct kwenye fact kesho wanasayansi waje wathibitishe kwako kweli mnachokisema ni kweli.
Kuyengeneza ni nini hapo umeniachaNitajie mkulima gani aliyewahi kuyengeneza hizi kanuni?
Me huwa nadhani Wasomi ndo wangekuwa watu wa mwanzo kumjua Mungu ila ninachokiona kwa wasomi nyinyi nachoka kabisa.
Lengo la imani hata kibibilia ni kuijua kweli ili watu wawe huru. Sasa wanapojaribu kukwepa facts inamaana they don't know what they are talking about, watu wengi ni programmed less reasoning.Watu wa imani wanafeli sna kufanya imani iwe ni hoja ya ukweli na hakika , wakati hata lengo la imani sio hilo
Kumjua kivipi wakati hata hao wenye Imani hawajui wanaongea nini wengi wamerithi tamaduni na imani za walipotoka.Nitajie mkulima gani aliyewahi kuyengeneza hizi kanuni?
Me huwa nadhani Wasomi ndo wangekuwa watu wa mwanzo kumjua Mungu ila ninachokiona kwa wasomi nyinyi nachoka kabisa.
Kuyengeneza ni kufanya nini? Naona umemwelewaKumjua kivipi wakati hata hao wenye Imani hawajui wanaongea nini wengi wamerithi tamaduni na imani za walipotoka.
Sayansi gani unayoisema min -meUwepo wa Mungu ni philosophical beliefs, sio real kisayansi, ila ni inaweza kuonekana ni real ndani ya akili ya mtu aliye taka kuamini hivyo
Kwamba kina newton na hao uliowataja kuamini Mungu ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu?Sayansi gani unayoisema min -me
Newton
albert
schondinger
na wengine wengi tu wanakupiga... sayansi gani unayoijua wewe ambayo haiamni Mungu.
Duh tumekua ng'ombe tena?Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.
Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli bado watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu.
Uwepo wako hapa Dunia kama mtawala wa viumbe vyote ni uthubitisho kuwa na wewe kuna mtu anaekuchunga kama ng'ombe.
Tusirudi kwenye ancient civilization.
Saiz ilibidi tujadili Dini ipi ni Sahihi? Maana zote zinasema Mungu ni mmoja
Umerudia kusoma ulicho andika?Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.
Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli bado watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu.
Uwepo wako hapa Dunia kama mtawala wa viumbe vyote ni uthubitisho kuwa na wewe kuna mtu anaekuchunga kama ng'ombe.
Tusirudi kwenye ancient civilization.
Saiz ilibidi tujadili Dini ipi ni Sahihi? Maana zote zinasema Mungu ni mmoja
Zaidi ya Mungu wa kufikirika kwenye mawazo ya watu, wa hadithini, hujathibitisha kuwa Mungu yupo.Mnapochanganyikiwa wengi ni hapo kudhani Mungu ni mwenye huruma tu, ni mwenye upendo tu na ukimuomba chochote atakupa kirahisi tu
Sasa wewe na Ng',ombe mnatofauti gani? Leo wewe unamaamzi ya kumchinja ng'ombe wako, ila na wewe kuna mtu anamaamuzi ya maisha yako ufe leo au kesho.Duh tumekua ng'ombe tena?