Naonyesha contradiction.
Mungu mkamilifu kabisa, hahitaji chochote. Hahitaji hata kuumba.
Mungu wenu mnasema mkamilifu.
Hapo hapo kaumba.
Kaumba kwa sababu gani na yeye mkamilifu kabisa?
Alijisikia lonely kukaa mwenyewe akataka kampani viumbe wafanye vituko na yeye a play Judge Judy na kusujudiwa apate kitu cha kupitisha muda?
Hehehe...kutapatapa kubaya sana.
Nimekuuliza ni Mungu gani unayemzungumzia?
Au Mungu anatakiwa awe vp?
Na contradiction ni nini na inahusika vp hapa?
mbona unachekesha!umebugi
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
Contradiction ni kitu kujipinga chenyewe.
Contradiction inahusika hapa kwa sababu mungu anajipinga mwenyewe.
Upande mmoja ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Tungetegemea sifa hizi zimfanye aumbe ulimwengu usio na mabaya, mateso, magonjwa, tsunami, matetemeko etc.
Lakini tunaona ulimwengu huu unaosemwa kwamba umeumbwa na huyu mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote, bado una mabaya yote haya.
Kwa nini?
Mungu alitaka ila alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya na mateso yote haya? Kama alishindwa, je, ni kweli anaweza yote?
Ama aliweza, lakini hakutaka tu kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya na mateso yote haya? Kama hakutaka, je, ni kweli ana upendo wote?
Hehe..sasa mara unahoji kama Mungu yupo kwanini kaumba ulimwengu wenye mateso mara tena kama Mungu yupo kwanini ahitaji kuumba!
Sasa hapo tukuelewaje?
Ushauri wangu ndugu tafuta ukweli kuliko kuangaika kutafuta visababu vya kukufariji..mi nafikiri laiti mngekuwa na sababu za kusema hakuna Mungu basi msingeitwa wapinga Mungu.
Ukweli ni kwamba hujajibu maswali yangu.
Huo ndio ukweli.
Watu wema ni kina nani? Tafsiri ya wema kwako inaweza kuwa tofauti kabisa na Mungu. God is fairI am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...Watu wengi ambao ni WEMA hupitia changamoto nyingi kuliko wale ambao si WEMA
Mimi sasa hivi siamini katika dini kabisa, i don't believe in the God of the Bible neither Allah..all these gods are satanic they don't like human beings.I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...Watu wengi ambao ni WEMA hupitia changamoto nyingi kuliko wale ambao si WEMA