Is God fair ?

Really?

Tell that to the Haitians and their earthquake;
Tel that to the victims of 2004 tsunami;
Tell that to the victims of Ethiopian famine of 1980s;
Tell that to the victims of Rwandan 1994 genocide;
etc., etc!

CC: Kiranga

Wanacheza hawa.
 
Lazy.. ukamilifu ni nini? 🙂

Ukamilifu for one ni kutohitaji chochote.

Kutohitaji kuumba, kutohitaji kuabudiwa, kutohitaji sheria wtc.

Ukihitaji kitu tu, hujakamilika.

Sasa mungu wenu mkamilifu imekuwakuwaje mpaka akaumba?
 
nimekujibu tayari. nawe jibu LOGIC NI.NINI.NA CHANZO CHAKE NINI ?

Swali lako umeuliza kwa kutumia nini? Habari ya swali kiwa na jibu ni nini?

Mengine unaweza kuona swali kumbe jibu.

Logic ni mpangilio sawa wa dhana, na chanzo chake no kufikiri.

Ulitaka niseme chanzo chake mungu?
 
mawazo haya hayawezi toka kwenye kichwa cha binadam...
Labda bado.linyani.linaevolve kulelekea kwenye sijui unini.
maana bin adam ni kutokana na adam aliyeumbwa

Thibitisha kwamba mungu yupo!.Huwezi hata kujitetea kwa hoja bali matusi na lugha chafu.Ndio maana mnawekwa kwenye Ignore list mnabaki kulalama mwaka mzima
 
mawazo haya hayawezi toka kwenye kichwa cha binadam...
Labda bado.linyani.linaevolve kulelekea kwenye sijui unini.
maana bin adam ni kutokana na adam aliyeumbwa

Ikawa mchana ikawa usiku ,siku ya kwanza!,Kisha mungu akaumba ardhi na mbingu,sijui na vitu gani,afu mwisho akaviona vyote ni vyema!.

Iwapo mungu(kama yupo)mwenye mamlaka yote anapata wazo la kuumba kitu kwa umbo flani basi lazima kuna mahala anapotoa wazo hilo.Mungu (kama yupo)hawezi akawa ama akaona haja ya kuumba.Yaan kitu /mtu mwenye uwezo wote aspend siku sita anaumba?.
 
Thibitisha kwamba mungu yupo!.Huwezi hata kujitetea kwa hoja bali matusi na lugha chafu.Ndio maana mnawekwa kwenye Ignore list mnabaki kulalama mwaka mzima

Fear of knowledge young man. You are limited in understanding and comprehension.
 
Ukamilifu for one ni kutohitaji chochote.

Kutohitaji kuumba, kutohitaji kuabudiwa, kutohitaji sheria wtc.

Ukihitaji kitu tu, hujakamilika.

Sasa mungu wenu mkamilifu imekuwakuwaje mpaka akaumba?

Mungu gani unayemzungumzia?maana naona sifa yake ya kuumba hutaki kuisikia lakini hapohapo ndiyo unasema ni udhaifu wake.
Au labda unazungumzia miungu ile ya sanamu!

Maana vichekesho vitupu.
 
Mungu gani unayemzungumzia?maana naona sifa yake ya kuumba hutaki kuisikia lakini hapohapo ndiyo unasema ni udhaifu wake.
Au labda unazungumzia miungu ile ya sanamu!

Maana vichekesho vitupu.

Naonyesha contradiction.

Mungu mkamilifu kabisa, hahitaji chochote. Hahitaji hata kuumba.

Mungu wenu mnasema mkamilifu.

Hapo hapo kaumba.

Kaumba kwa sababu gani na yeye mkamilifu kabisa?

Alijisikia lonely kukaa mwenyewe akataka kampani viumbe wafanye vituko na yeye a play Judge Judy na kusujudiwa apate kitu cha kupitisha muda?
 
kamuulize ayubu ndo utajua mungu yuko fair au la. la kama unaona ni agano la kale kamuulize yohana yule aliyembatiza yesu. ilifika wakati yohana akapatwa na shaka akiwa gerezani. akatuma wajumbe kwa yesu kumuuliza wewe ndiye yule ajaye au tumsubiri mwingine...? yohana alikatwa kichwa. na wewe kuwa mpole. yawezekana kuna sehemu ilienda wrong, au ni mapenzi ya mungu tu
 
Hujajibu swali.

Swali legitimate kabisa.

Halafu huna hata ustaarabu wa kujibu au kusema hujui jibu kama hujui.

Unaleta viroja badala ya hoja.

unajua mkuu hata watu wa aina yenu mungu amewaweka kwenye ignore list. mfanye yenu kwa nafasi ila wakati ukifika mtajua tu. utashi unao ndio maana unasema yote.
 
Swali lako umeuliza kwa kutumia nini? Habari ya swali kiwa na jibu ni nini?

Mengine unaweza kuona swali kumbe jibu.

Logic ni mpangilio sawa wa dhana, na chanzo chake no kufikiri.

Ulitaka niseme chanzo chake mungu?

Jibu swali kabla ya kuuliza ac presumptions nani mmiliki wa hizo fikra kiasi unataka kufanya alivyofikiri yeye na mpangilio wake ndiyo uwe mwongozo WA kila MTU ?
Logic ni fikra za nani na kwa nini ziwe ni sahihi kwa wote wakati wote ?
 
Huyu atakuwa ni mungu wako "hakuna mungu "
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…