Lugha inakupa tabu rafiki.
Nadhani itakuwa kazi kubwa kukufundisha lkn tutakwenda tu polepole.
Kabla ya kusema "mungu anapofanya maamuzi yake..." thibitisha kwamba mungu yupo kwanza.
There is such a thing as putting the horse before the cart.
Kitu chenye mjadala hapa ni uwepo wa mungu.
Unatakiwa uthibitishe uwepo wa mungu.
Unathibitishaje kwa kusema "mungu anapofanya maamuzi yake wewe na mimi hatuna uwezo wa kumuuliza" wakati hata hujathibitisha kwamba yupo?
Vipi kama hiyo habari yako nzima ni changa la macho lililotungwa na binadamu tu, wakakwambia "mungu anapofanya maamuzi yake mimi na wewe hatuna uwezo wa kumuuliza" ili kulinda siasa zao?
Kama hatuna uwezo wa kumuuliza mbona mimi nishauliza swali hilo?
Hujajibu swali.
Swali si "whose choice is that?".
Swali ni "why did god make that choice?"
Kama hujui sema tu, sijui.
Jibu ambalo litamaanisha kwamba humjui mungu wako.
Jambo ambalo litamaanisha huenda hayupo ni maruweruwe tu unayoyaamini.
If god is very fair, and he has all powers and all love, why did he create a world in which unfairness is possible?
Sasa rafiki hebu tazama unavyojichanganya hapo.
Unanikataza mimi nisijadili chochote kuhusu Mungu hali ya kuwa wewe mwenyewe unauliza KWANINI HUYO MUNGU AKAAMUA HIVYO?
Sasa Hizi double standards kweli huko tunakokwenda Tutafika?
Halafu kwanini huwezi kujadili bila kutoa maneno ya mitaani?
Hebu jaribu kuwa na nidhamu ya mjadala japo kidogo Rafiki.
Ukisoma kwenye zile familia 13 za illuminata kuna sehemu inaelezwa mtandao huo unavyojaribu kutumia dini kumsubject mwanadamu awaze kama mnyama na kutenda/kureact kama mnyama ili impe nafasi ya kuanza kufanya kwa hisia zake na utashi wake huku wakimwelezea Mungu kama MTU aliyewatelekeza wanaadamu na kwamba hana msaada kwao ...Binafsi sioni sababu ya kujiuliza swali la hivi kwani itabidi nikuulize kama Mungu hayuko fair sasa were hill utalibadilije ili huyu Mungu aanze kuwa fair??
Mungu hayupo.
Huwezi kubadili mungu awe fair wakati hayupo.
Katungwa tu na watu ili kurahisisha maswali magumu yasiyo na majibu yawe rahisi.
Kama yupo thibitisha.
Tuthibitishie kauli yako hii.
Mungu hayupo.
Huwezi kubadili mungu awe fair wakati hayupo.
Katungwa tu na watu ili kurahisisha maswali magumu yasiyo na majibu yawe rahisi.
Kama yupo thibitisha.
Nithibitishe nini? Unafahamu kanuni za uthibitisho?
Hapo juu umeandika kuwa KIFO HUJUI KUWA NI NINI.
Kauli yako ya Kutokujua Haimaanishi kuwa KIFO HAKUNA.
Wewe kwa kuandika kuwa "HAYUPO" ni affirmative statement.
Sasa thibitisha kuwa HAYUPO.
Elimu ya kujadili ni muhimu sana Rafiki au utajikuta unaumiza kichwa chako mwenyewe.
Hujajibu swali.
Swali si "whose choice is that?".
Swali ni "why did god make that choice?"
Kama hujui sema tu, sijui.
Jibu ambalo litamaanisha kwamba humjui mungu wako.
Jambo ambalo litamaanisha huenda hayupo ni maruweruwe tu unayoyaamini.
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
We jamaa ubongo wako utakuwa na matatizo makubwa Sana. Ina maana kutojua nini kilimfanya MTU aamue alivyoamua ni kwamba humfahamu ?
Unajua sababu ya baba yako kuwa baba yako na sio baba wa Nyani Ngabu ?
Kama hakuna uhusiano kati ya kifo na mungu, kwa nini umetaja habari yangu ya kutoelewa kifo ni nini kama kikwazo cha mimi kumtambua mungu?
Kama hufahamu kwa nini mungu wako kafanya alivyofanya, humfahamu mungu wako.
Hata kama sifahamu sababu ya baba yangu kuwa baba yangu na sio baba wa Nyani Ngabu, hili haliondoi ukweli kwamba mpaka sasa hufahamu kwa nini huyu unayemuamini kuwa mungu kafanya alivyofanya.
Hilo linamaanisha hufahamu msingi wa muhimu kabisa wa imani yako.
Hilo linamaanisha, imani yako inawezekana kabisa kuwa potofu na wewe usifahamu hilo.
Visivyopo havithibitishiki kwamba havipo.
Kwa sababu havipo ili kuthibitishika kwamba havipo.
Vilivyopo ndivyo vinathibitishika kwamba vipo.
Kwa sababu vipo, vinaweza kuthibitishika kwamba vipo.
Huwezi kupata alama za vidole za mwizi ambaye hayupo na hajawahi kuwepo.
Unaweza kupata alama za vidole za mwizi aliyewahi kuwepo.
Hivyo basi, swali linakugeukia wewe.
Unayesema mungu yupo.
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Msaada Tu kwa kuwa Una kichwa kigumu kupambanua hoja.
Amesema hujui kuhusu kifo ambacho kipo nawe karibu maana kimetokea katika mazingira uliyopo.
Kama ubongo wako mzito kujua kifo ambacho kipo na umekishuhudia utawezaje kujua habari za Mungu ambaye hajawahi kunywa nanyi chai hata siku moja.
Issue ni kifo na mazingira yake unayaona Mara kwa Mara lakini hujui...
"Visivyopo" unavitambua kwa Imani au kwa ujuzi au ukisema kitu Fulani hakipo inatosha na ni kinga yako ukiombwabushahidi wewe ni kunukuu " visivyopo havithibitishiki kwamba havipo
Umeelimishwa Sana kuhusu mfano wako wa mwizi asiyekuwepo.
Hiyo ni hadith yako kwamba unatafuta Alama za vidole za mwizi asiyekuwepo au nini kimefanya pawepo dhana ya Mwizi asiyekuwepo au ni mwizi anayeiba sayari zingine na kuziuza kariakoo ?
Huwezi fikiri hata kidogo Kiranga ? Kweli ubongo umeganda Kabisa au Una act...
Alama za vidole za mwizi asiyekuwepo !!!!
Wewe ni noumaaaa
Kutofahamu sababu ya baba yako kuwa baba yako badala ya kuwa baba ya Nyani Ngabu ni ushahidi kwamba humfahamu baba yako ?
Jibu kadri unavyoulizwa swali...kutunga swali mbadala na kulijibu hakuwi suluhisho...
Mungu wetu siku zote hakosei
Mungu gani huyu ambaye hakosei?