Ni vigumu saa nyingine kupata majibu
Haya yote yametoka wapi?
Tings out of my depth, kuwa muungajiungaji, na jinga, n.k vyote hapo kama mimi ninavyo basi nawe pia, kwani kwa muda wote huu usingetumia kujadiliana na mtu wa aina hiyo, ila tu kama mnafanana au amekuzidi maarifa.
Huku ni kukwepa hoja ya msingi! Hivi ulishawahi kujiuliza hizo philosophical investigation na classical arguements kama zipo vichwani mwa binadamu au wanyama? Usijidunishe kwa Bookish knowledge yako. Baki kwenye hoja ya msingi. Maarifa yangu juu ya Mungu hayakutegemea vitabu na maandishi, WEWE NDIO WA KWANZA HUMU KUTAMKA NENO NATURE NA LAWS & FORCES ZAKE KAMA KITU KILICHOFANYA ULIMWENGU UTOKEE, NILICHOFANYA NI KUKUONESHA KUWA HICHO UKIITACHO ASILI HAKINA TOFAUTI NA KILE NIKIITACHO MUNGU! Ulitaka hadi aandike nani? Mzungu au Mandela? Nyerere au Obama?
USIPOKANA KUITAMBUA NATURE BASI HUNA MLANGO WA KUTOKEA!
Anaita sasa!
Ni vigumu kupata majibu kama utalazimisha uwepo wa mungu.
Ukiweka uwezekano wa mungu kutokuwepo, kwamba ni story tu katungwa na wanadamu, everything makes sense.
Ushenzi unaoendelea duniani all of a sudden hauwi mgumu kuuelezea, hakuna mungu mwenye uwezo wote na upendo wote wa kuuzuia.
Lakini ukisema kuna mungu, mwenye upendo wote na uwezo wote, huwezi kuelezea kwa nini kaumba dunia ambayo mabaya yanawezekanika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba dunia ambayo mabaya hayawezekaniki.
Hata binadamu tu mwenye roho nzuri akiwa na uwezo wa kuwapa wanawe good time anawapa.
Inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote awe na uwezo wa kutupa good time halafu atubanie?
Hapo ndipo panaposhinda wengi, kama Mungu yupo basi he is responsible for the good and the bad. Yeye mwenyewe ndio shetani na yeye ndiye Malaika hawezi kuepuka. Besides that naona it's safe kuwa at peace na kuishi accordingly bila kujichanganya na dogmas and whatnot
That is an elegant observation.
Eti tunaambiwa kuna mungu, mjuzi wa yote, muweza yote, kaamua kuuumba ulimwengu huu kama ulivyo, na yeye mwenyewe kamuumba shetani, wakati anajua shetani atafanya nini kabla hata shetani hajaumbwa.
Halafu shetani alivyokuja kuharibu, lawama anapewa shetani, badala ya kupewa mungu aliyekubali kuumba ulimwengu kama ulivyo na kumuumba shetani, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hawezekaniki.
Shetani (the character) anaonewa tu. Ukitaka ku deal na mzizi wa tatizo lazima ujiulize, kama mungu anawapenda viumbe wake kwa nini aliruhusu ulimwengu ambao shetani anaweza kuwepo?
Ukichunguza sana unaona habari nzima ni tisha toto ya uongo wa kizamani, ukiipima kwa kina haisimami yenyewe.
God collapses under his enormous responsibilities and unlimited powers.
Kumjibu mleta posti ni kwamba inawezekana wanyama wana akili zaidi yake, kwani pale anazaliwa akifika umri wa kuweka/kubeba mimba hufanya hivyo. Kwa kuwa umepotea na kuzidiwa akili na mnyama kwa kuamini kuwa mungu atachukia ukifanya hilia au lile kuhusiana na ngono ndio maana umeangukia kubaya. Ukifika umri wa jambo fulani lihusulo mwili wako wapaswa kulifanya kulingana na haja zako. Lakini sio kusubiri eti kuna kitu kinaitwa mungu kitachukia. Kama huyo mungu hakutaka ufanye hivyo kwa nini aweke umri wa maturity kuwa miaka 18 au less? Mfano kama kuzaa kwa uchungu ni adhabu kwa wanadamu iweje kwa wanyama pia?
Muhusika,
Nashukuru sana kwa mchango wako. Ni muhimu sana kuelimisha jamii, especially kuwasaidia kuondokana na hizi fikra finyo za dini na ushirikina. Ni aibu kwa taifa letu kujulikana kwa kuua ndugu zetu Mazeruzeru, kwenda kwa Babu wa Loliondo, na kuongezeka kwa udini nchini.
Let's do more and be patience with those who may not have been exposed to "free thinking and reason".
Together we can promote a society that can reason beyond the supernatural, so that the next generation can learn to face the challenges without depending on god or waiting for god's miracles!
Nimependezwa sana na maneno ya Papa Fransis, ametambua nyakati tulipo sasa watu wana uelewa mkubwa na kadiri tunavyosonga hii idea ya Mungu inazidi kuwa outdated. Weather utaamua kukwama kwenye past na ideology zilizopitwa na wakati au uchukue advantage ya nyakati tulizopo, nyakati za advanced science. Ni vigumu kwa mtu kuanza kupiga porojo na kueleweka bila kuwa na uthibitisho wa unachoongea. I would expect a smart person anayesema Mungu yupo awe ame experience uwepo wake na hata aonyeshe wengine technique ya experience yake. Ni kama kujaribu kumuelezea mtu utamu wa chungwa ulivyo huku hata wewe mwenyewe hujawahi kula hilo chungwa mbali hata ya kuliona, zaidi ya kupata mapokeo tu na kuyachukua jumla jumla.
One thing i will take from the religions of the World is the message of peace and love. The morality part of it, because that's real and one can not go wrong with it.
Before asking if god is fair, an even more fundamental question is, does god exists or is this just a false idea?
Tulishachoka na ngonjera zako!
Sometimes una boa kishenzi!
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna tatizo la nafasi na watu hawafi?
Kama Ebola haijauwa watu kama ajali, basi mungu ni mshenzi zaidi. Ebola ni mfano mdogo tu, sijui unaelewa maana ya mfano ni nini? Kwamba siwezi kuongelea kila namna ambayo naweza kumshitaki huyo mungu kwa kuachia mabaya yaendelee wakati ana uwezo wa kuyamaliza, nimetumia mfano mmoja mdogo tu ulio katika headline sasa hivi.
Sasa ukisoma kwa kichwapanzi unaweza kuona nimeishia kwenye Ebola, wakati mungu huyu aliachia NAZI waue Jews milioni 6, aliachia waafrika kwa makumi ya milioni waende kuuzwa utumwani, aliachia tsunami iue watu kwa mafungu huko Asian, na kadhalika.
Kwa nini kaumba ulimwengu uliojaa mabaya hivi wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Hujanijibu swali hili.
Mimi namtuhumu kwa vifo elfu kadhaa wewe unaniambia hivyo vidogo, kaua mamilioni, huo si utetezi, unamzidishia makosa.
That is an elegant observation.
Eti tunaambiwa kuna mungu, mjuzi wa yote, muweza yote, kaamua kuuumba ulimwengu huu kama ulivyo, na yeye mwenyewe kamuumba shetani, wakati anajua shetani atafanya nini kabla hata shetani hajaumbwa.
Halafu shetani alivyokuja kuharibu, lawama anapewa shetani, badala ya kupewa mungu aliyekubali kuumba ulimwengu kama ulivyo na kumuumba shetani, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao shetani hawezekaniki.
Shetani (the character) anaonewa tu. Ukitaka ku deal na mzizi wa tatizo lazima ujiulize, kama mungu anawapenda viumbe wake kwa nini aliruhusu ulimwengu ambao shetani anaweza kuwepo?
Ukichunguza sana unaona habari nzima ni tisha toto ya uongo wa kizamani, ukiipima kwa kina haisimami yenyewe.
God collapses under his enormous responsibilities and unlimited powers.
Hapa tena umeenda nje ya LOGICS. Kwa wewe huna haja ya kutumia uwepo/kutokuwepo shetani kwa sababu maadamu kwa wewe Mungu hayupo it is wastage of your time kumtumia shetani kama a COG in your arguments to prove that there is no GOD.
wewe argue in a manner which will convince even an illiterate person kuwa the position of both ends of your alimentary (you and PlanckScale) systems are there by pure chance. Keep satan out of this!
Mkuu Wickama salaams ...
Napenda watu ambao wanajiuliza maswali makubwa na yenye uzito kama huu,mtu hata hajui kuwa anapokana kitu tayari anakuwa ameshatoka kwenye kukihoji halafu kila pahali kwenye forum anaendelea kurudia kitu kile kile
Kaazi kweli kweli ...!!!
Mkuu, nashukuru kwa salaams, tuko pamoja. Nafuatilia mada yako ya Rabi Leo....
.........wewe jibu ni kwanini wewe na PlanckScale,, nyote wawili mna miili inayofanana. Yaani nani kawepeni vifua na makalio in the same position...
Hujajibu swali.