mfanya biashara na mjasirimali mara nyingi haya maneno hutumiwa kwa pamoja, yaani mfanya biashara anaweza kuitwa mjasiriamali na mjasiriamali anaweza kuitwa mfanya biashara, but kuna tofauti kubwa sana kati ya haya maneo mawili,
labda tucheki tofauti kidogo kati ya hawa watu wawili
1. Mfanya biashara
- ni mtu anaye anzisha biashara kutokana na idea ambayo tiyali ipo, mfano kuanzisha biashara ya kuuza magari, kuuza simu na kazaila
1. Mjasiriamali
- huyu huanzisha biashara kutokana naidea yake mwenyewe, means anatafuta wazo lake mwenyewe na kulibadili kuwa biashara
mfano: Leo hii ukakaa chini na kuja na wazo la kuunda gari la taili moja na ukafanyia kazi wazo lako wewe utakuwa ni mjasiriamali, lakini ukaja na wazo la kuunda gari na kulipa jina lako, hapo hakuna kitu ni marudio tu, kumbuka kwamba mvumbuzi wa gari duniani ni mmoja tu, henry ford, hawa wengine wote wakina toyota, nisani na kazaila wanaunda magari kwa concept ya henry ford na hawawezi kuitwa wajasiriamali bali wafanya biashara
2. Mfanya biashara
- huwa na washindani wengi sana katika soko kwa sababu yeye anatumia wazo ambalo tiyali liko sokoni na linatumiwa na watu wengi sana
2. Mjasiriamali
- hana washindani na washindani wake ni yeye mwenyewe, hii ni kutokana na kuja na wazo ambalo halipo yaani kalitoa kichwani mwake yeye mwenyewe
3. Mfanya biashara
- profit oriented, mfanya biashara mara nyingi hujikita katika profit yeye haangalii watu zaidi ya kujali faida tu
3. Mjasiriamli
- huyu hujikita katika kuangalia watu, na utaangalia kwamba wavumbuzi wengi wakati wanavumbua walikuwa hawavumbui ili watajirike ila utajiri ni matokeo ya uvumbuzi wao,
chukulia mfano wa thomas edson- huyu jamaa yeye alijitahidi kuvumbua balubu na ndo lilikuwa lengo lake na si kufanya biashara ya balubu
4. Mfanya biashara
- huyu huwa ni market pleyer, anacheza na soko na si kitu kingine, sasa hapo ndo utagundua tofauti kati ya yeye na mjasiriamli
mfano: Wewe unafanya biashara ya kuuza magari kutoka japani, huwezi kuwa market reder kwa sababu kuna watu wengi sana wanafanya hiyo biashara na vilevile biashara yako inategmeana na kiwanda husika,
4. Mjasiriamali
- huyu ni market reader, chukua mfano wa cocacola, huyu ni market reader, sony, google na kazalika,
so kwa kifupi mjasiriamli ni mtu ambaye ni very inovative na initiator wa wazo la biashara,
na mwisho kabisa. Mjasiriamali hahitaji gorvernment progaram kuhusu biashara ili atoke , no hupambana mwenyewe kutoka
- na ukisoma historia za wavumbuzi wengi sana duniani walivumbua aidea zao katika mazingira magumu sana, hakukuwa na mazingira kama ya leo hii tuliyo nayo sisi,
- na watalaamu wa maswala ya biashara wana sema uvumbuzi mwingi sana wa dunia ulianzia miaka ya 1000 hadi miaka ya 1999 na wavumbuzi wenge sana walikuwa wanasukumwa na hali ya kipindi kile kuvumbua vitu, ila now day vumbuzi ni chache sana na nyingi zimejikita kwenye editing ya vumbuzi za watu wa mwanzo