Is every businessman an entrepreneur? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is every businessman an entrepreneur?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by emalau, Jul 27, 2012.

 1. e

  emalau JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  In recent days i have been following the trend of media regarding entrepreneurship, it seems we have changed the swahili name mfanyabiashara to Mjasiliamali. The way i think an entrepreneur is more than a mere business person.

  There are many theories regarding entrepreneurship but the one which i think makes more sense is the one which state that Entrepreneurship is a creative and innovative response to the environment. In other words an entrepreneur is an innovator who introduces something new into the economy, new method of production not yet tested by the experience in the branch of manufacture concerned. It should be taken into account that this include making better existing products or methods of production.

  As far as i can see in our country i don't see any innovation or creativity regarding business undertaking, nowadays people are going to Asia particularly China picking fake staff at low price and selling and making huge profit at the expense of poor Tanzanian people, is that what we call entrepreneurship?

  I leave this question to Jf members, let's discuss we may reach consensus rather than letting the media to mislead us.
   
 2. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Not every businessman is an entrepreneur,you know this is a new thing in our society so expect the unexpected.Entrepreneurship involves creativity introducing new things and finding means to improve existing product or service in the way that was not there before.Also it involve risk taking,and you should be able to assess the risk before taking it.Those who go to china buy at x sell at x+y for the sake of making profit are traders not entrepreneurs.
   
 3. r

  royna JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sasa hivi hata wamama wakitengeneza batiki wanaambiwa ni wajariamali and not petty business women.
   
 4. M

  Mikael mwangosi New Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :eek2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
   
 5. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  most institutions lack entrepreneurial culture that would generate new ideas,screen them and support the idea development and to make matters worse failure is forbiden at all costs which in a way has impede creativity and innovation.as in most cases b'ness ventures crop out of economic necessity as such innovation/creativity under the circumstances tend to be ruled out,entrepreneurship as said earlier it isn't all about setting up a shop/venture somewhere
   
 6. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanajavi niweke sawa kidogo kutoka na upeo wangu maana ya entrepreneur ni pana sana na kuna aina karibu 12 za entrepreneur hapo kwenye creative na innovation pekee yake.na hayo tuu

  Sent from my tego using JamiiForums
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mfanya Biashara na Mjasirimali mara nyingi haya maneno hutumiwa kwa Pamoja, Yaani Mfanya Biashara anaweza kuitwa Mjasiriamali na Mjasiriamali anaweza kuitwa Mfanya Biashara, BUT Kuna tofauti kubwa sana kati ya Haya Maneo mawili,

  Labda tucheki tofauti kidogo kati ya hawa watu wawili

  1. MFANYA BIASHARA
  - Ni mtu anaye anzisha Biashara kutokana na Idea ambayo tiyali ipo, Mfano Kuanzisha Biashara ya Kuuza Magari, kuuza simu na kazaila

  1. MJASIRIAMALI
  - Huyu huanzisha biashara kutokana naIdea yake mwenyewe, means anatafuta wazo lake mwenyewe na kulibadili kuwa Biashara
  Mfano: Leo Hii ukakaa chini na kuja na wazo La kuunda gari la Taili Moja na ukafanyia kazi wazo lako wewe utakuwa ni Mjasiriamali, Lakini ukaja na wazo la kuunda gari na kulipa Jina lako, hapo hakuna Kitu ni marudio tu, KUMBUKA KWAMBA MVUMBUZI WA GARI DUNIANI NI MMOJA TU, Henry Ford, Hawa wengine wote wakina TOYOTA, NISANI na kazaila wanaunda magari kwa Concept ya HENRY FORD na hawawezi kuitwa wajasiriamali bali wafanya biashara


  2. MFANYA BIASHARA
  - Huwa na washindani wengi sana katika soko kwa sababu yeye anatumia wazo ambalo tiyali liko sokoni na linatumiwa na watu wengi sana

  2. MJASIRIAMALI
  - Hana washindani na washindani wake ni yeye mwenyewe, hii ni kutokana na kuja na wazo ambalo halipo yaani kalitoa kichwani mwake yeye mwenyewe


  3. MFANYA BIASHARA
  - Profit oriented, Mfanya biashara mara nyingi hujikita katika Profit yeye haangalii watu zaidi ya kujali Faida tu

  3. MJASIRIAMLI
  - Huyu hujikita katika kuangalia watu, na utaangalia kwamba wavumbuzi wengi wakati wanavumbua walikuwa hawavumbui ili watajirike ila UTAJIRI NI MATOKEO YA UVUMBUZI WAO,
  Chukulia MFANO WA Thomas Edson- Huyu jamaa yeye alijitahidi kuvumbua balubu na ndo lilikuwa lengo lake na si kufanya biashara ya Balubu

  4. MFANYA BIASHARA
  - Huyu huwa ni Market Pleyer, anacheza na soko na si kitu kingine, SASA HAPO NDO UTAGUNDUA TOFAUTI KATI YA YEYE NA MJASIRIAMLI
  MFANO: WEWE UNAFANYA BIASHARA YA KUUZA MAGARI KUTOKA JAPANI, HUWEZI KUWA Market Reder kwa sababu kuna watu wengi sana wanafanya hiyo biashara na vilevile Biashara yako inategmeana na Kiwanda husika,

  4. MJASIRIAMALI

  - Huyu ni MARKET READER, chukua mfano wa Cocacola, Huyu ni market Reader, SONY, Google na kazalika,


  so kwa kifupi Mjasiriamli ni mtu ambaye ni very Inovative na initiator wa wazo la Biashara,

  NA MWISHO KABISA. MJASIRIAMALI HAHITAJI GORVERNMENT PROGARAM KUHUSU BIASHARA ILI ATOKE , NO HUPAMBANA MWENYEWE KUTOKA

  - Na ukisoma Historia za Wavumbuzi wengi sana Duniani walivumbua AIDEA ZAO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU SANA, hakukuwa na mazingira kama ya leo hii tuliyo nayo sisi,

  - Na watalaamu wa Maswala ya Biashara wana sema UVUMBUZI MWINGI SANA WA DUNIA ULIANZIA MIAKA YA 1000 HADI MIAKA YA 1999 na Wavumbuzi wenge sana walikuwa wanasukumwa na hali ya Kipindi kile kuvumbua vitu, ila now day VUMBUZI NI CHACHE SANA NA NYINGI ZIMEJIKITA KWENYE EDITING YA VUMBUZI ZA WATU WA MWANZO
   
 8. e

  emalau JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  KOMANDOO, thanks for taking your time to give a detailed explanation regarding entreprenerurship.Hope this will give an insight to other people as far as an entrepreneurship is concerned. I think it is high time the media get acquainted with the subject.

  Leaders of media organization should prepare seminars and workshop since they are playing the big role to educate or mislead the public.
   
 9. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  je nini tofauti kati ya mvumbuzi na mjasiriamali mkuu ? Tokana na maelezo yako. Au wavumbuzi wote ni wajasiriamali ?

  [FONT=&amp]Various Definitions of entrepreneur[/FONT]
  •[FONT=&amp]According to [/FONT][FONT=&amp]Cantillon[/FONT][FONT=&amp]: An entrepreneur is the one who buys goods and services at certain prices with a view of selling them at uncertain prices in the future[/FONT]

  •[FONT=&amp]Someone who combines the factors of production so as to increase output and welfare of the
  society ( [/FONT]
  [FONT=&amp]Mashall, 1920)[/FONT]

  •[FONT=&amp]The one who develops new profitable opportunities by combining resources in a
  new way ([/FONT]
  [FONT=&amp]Schumpter, 1934)[/FONT]

  •[FONT=&amp]An individual who owns and manages the business for principle purpose of profit and
  growth ([/FONT]
  [FONT=&amp]Carland, 1984)[/FONT]


  •[FONT=&amp]Is the one who determines business opportunities, converts them into marketable ideas, bring the necessary resources and takes appropriate actions while bearing the risks of the venture for success.

  [/FONT]

  [FONT=&amp]What is entrepreneurship[/FONT]
  •[FONT=&amp]Is creating something different with value by devoting time and efforts, and assuming risks for success.[/FONT]
  •[FONT=&amp]Is a dynamic process of creating incremental wealth [/FONT]
  •[FONT=&amp]Is the ability to create and build a vision practically from nothing[/FONT]

  •[FONT=&amp]Taking risks requires willingness to take both financial and personal risks.[/FONT]
   
Loading...