Is civilization, uhuru bila mipaka????????????

Is civilization, uhuru bila mipaka????????????

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
540958_355965727835531_624726846_n.jpg



Nimeondoa lebal kwa sababu za kiusalama.
 
Au huyu dogo Mama ake alikua anakunywa pombe badala ya kula udongo au Mavi ya kuku kama wanavyofanya kina mama wakiwa wajawazito? Ona sasa Amesha Muharibu. Wenzake wanakula michanga, yeye Ulabuuu!
 
Dogo kajihudumia mi Primus balaa, hapo akistuka lazima aombe embassy moja
 
Primus hiyo mkuu,munaenda bar wawili,munanunua moja, mapigo ya konyagi
 
Hiyo ndio tunaita nguvu ya mazingira katika makuzi na malezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom