If you dont mind, hapo kwenye red ungefafanua zaidi ingetupa afya wengi, hasa wale tuliofuatilia midahalo yote miwili.
Kuhusu mdahalo wa juzi:
Hii ni wiki ya lala salama kwenye kampeni,Techinicla and political errors should be avoided.Candidates wanatakiwa kucheza kwa step.Vitengo vya propaganda na logistics vinatakiwa kuwa busy kuliko wakati mwingine wowote
Kwenye mdahalo wa jana Raila Odinga ameniangusha kwa mara nyingine ingawa napenda ashinde uchaguzi huu . Prof ole Kiyiapi has my top score, followed by Martha Karua,Uhuru Kenyatta and then Raila. I would place Peter Kenneth, Mudavadi, Muite and Dida(comedian) at the bottom four! Dida was entertaining as usual, Uhuru was evasive on the question of his land ownership(Siasa za kihuni tu na ujanja ujanja hapo), Mudavadi was stained with the Anglo Leasing and Raila...appeared as a non performer with all his while in government.
Raila, on the other hand, told blatant lies on both the molasses plant & his allegation against Uhuru's numerous court cases RE land issues when he was actually disingenuously discussing Uhuru's running mate who wasn't even on the podium to defend himself! It has become increasingly clear that a lot of what Raila utters in those rallies of his are lies & fabrications..Inaweza kuonekana Raila alikua akidanganya kwenye mikutano.Pia kitendo cha kumwambia Dida sio mkenya kinaweza kutumika vibaya na wapinzani wake watakapoenda North-Eastern kwa kueneza kwamba Raila amewaita kwamba wao sio Raia wa kenya
Raila is lethargic & inarticulate when compared to Uhuru Kenyatta. The man clearly has a good head on his.Moderators wa mdahalo waliwaachia wagombea Urais wachomane wenyewe na kweli kila mgombea alimjeruhi mwenzake.Uhuru Kenyatta played possum saying he would boycott the debate & then struck like a cobra when Raila relaxed probably strategizing on how to bash Uhuru while he was not on the stage!
Peter Keneth alisindwa tena kuonyesha uwezo wake ingawa ni miongoni mwa wanasiasa vijana ambao ni brilliant sana.Alishindwa kumtaja Uhuru Kenyatta moja kwa moja kama mfano wa watu wanaomiliki melfu ya ekari kwenye mashamba tofauti na Martha Karua aliyeenda moja kwa moja kumtaja Uhuru Kenyatta. Over the two debates, the man has fallen even below Martha Karua. He is too overconfident and has revealed to be a man of bad temper but suppressed.
Raila on the other hand, is a man who hides in nuances and lies. He seems to take advantage of technicalities to run away from responsibility. If only he was a bit more sincere, he would be a very good politician.
Debate ya juzi ilikua juu ya Uchumi,Ardhi na Sera za mambo ya nje ila cha kushangaza Moderators hawakugusa hili la sera za mambo ya nje kabisa.Nadhani hili ni tatizo kwa mataifa ya Afrika.mataifa yaliyoendelea ukiongelea sera ya mambo ya nje unaongelea ulinzi na uchumi.Tunahitaji kupiga hatua .Tanzania tujifunze kuwapima watu kwa midahalo,CCM wana mgombea mmoja tu tishio kwa midahalo miongoni mwa wale wanao-tajwa/jitaja kugombea Urais 2015 ingawa wao hawaoni hiyo potential………Simtaji!CHADEMA Tumekamilika….!