Is Africa Ready to achieve their goals without Foreign Aid? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is Africa Ready to achieve their goals without Foreign Aid?

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Dec 31, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Is it possible for African Countries to achieve their Goals without financial aid from foreign countries?

  I think African countries needs to find alternative sources to money to finance their national budgets, rather than rely on overseas aid. Africa has tangible sources that can supply our needs without depending on the foreign sources. May be we have bad leadership which needs to change or we don't have leaders at all.

  Or do you think we need to be mentally decolonized?"
   
 2. R

  Rubabi Senior Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It would be difficult for us to depend on ourselves with the current crop of leaders.Sasa Kikwete huona fahari kupiga picha akipokea hundi kutoka kwa 'wahisani' lakini wahisani hao hao ndio wanatuibia madini yetu kwa kulipa 3% kodi.

  Mimi nafikikiri viongozi wenye decolonised mind watakakuwa wale waliozaliwa baadaya 1961, yaani baada ya uhuru.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nilihudhuria kongamano fulani nikavutiwa sana na binti mmoja kutoka Zambia aliyesema kuwa umaskini wa Afrika unasababishwa na mataifa ya magharibi ambayo yanawalea viongozi wetu wazembe kwa kuwapa hizo handouts. Alikuwa mkali sana akisisitiza kuwa kama kusingekuwa na hizo handouts tunazoita "misaada" viongozi wetu wangejikuta wanaishi maisha sawa na raia wanaowangoza na hapo wangeweka mkazo kwenye kutafuta maendelo ya nchi wanazoongoza. Hizi handouts huweka pengo kubwa sana kati ya hao viongozi na raia kisai kuwa mambo yanaishia kuwa tunavyojua.
   
 4. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mwalimu Kichuguu,Huyu Dada unayemzungumza anaitwa Dr.Dambisa Moyo..Dr. Moyo ni mtunzi wa kitabu kiitwacho "Dead Aid" katika kitabu chake hicho amezungumzia kwa undani Jinsi gani misaada haitokuwa suluhisho la kudumu kwa matatizo ya kiuchumi ya Afrika...na ameelezea kwa uwazi zaidi kuwa misaada anayoizungumzia sio Humanitarian,Emergency au Charitable bali anaizungumzia misaada ya moja kwa moja kutoka kwa serikali husika au mashiriki yasiyo ya kiserikali.Pitia hapa kusoma mengi kuhusu Mchumi Moyo www.dambisamoyo.com
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ndiye huyo huyo ninayemsema; nilivutiwa sana na presentation yake. Hata hapa CNN anaongelea kitu hicho hicho, inaelekea jambo hili liko kwenye damu yake kabisa
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=BHKa4qiIegM[/ame]
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Africa has always been ready. Its only her elite leaders who have not.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Good contribution,

  Unajua the Dead Aid is very famous, and I regret kwanini mpaka dakika hii sijakitafuta na kukisoma. Nadhani hivi ndivyo vitabu ambavyo wachumi na wanaopanga mikakati ya maendeleo huko serikalini wakawa wanavisoma vitabu kama hivi na kutengea kabisa muda wa kuvijadili, badala ya kukalia politiki na kujibu upuuzi wa maswali ya bunge.

  Nways, nakubaliana na author anavyo-assert ishu ya job creation, nchini kwetu nadhani hali ni mbaya nadhani hata baseline data ya ajira zinazozalishwa ni kiasi gani, na takwimu za asilimia ngapi ya watu wetu hawana kazi ni ndoto. Nadhani itakumbukwa miezi si mingi ilopita Prof. Kapuya akiwa waziri mwenye dhamnana ya wizara ya ajira na vijana alitoa takwimu feki kuwa eti lengo la kuzalisha ajira milioni moja limevukwa kwa mbali! Naye rais wake bila aibu akilihutubia bunge alidai eti hata kuongezeka kwa idadi ya wabunge kumeambatana na ongezeko la ajira kwa madereva na mahausigeli..Hawa ndio mediocre tuliowapa dhamana watuongoze kwenye hii vita dhidi ya umaskini!!

  Kwa upande mwingine nadhani kulitatua hili tatizo la ajira itachukua juhudi kubwa zaidi hasa ikizingatiwa kuwa tuna serikali inayokimbia majukumu yake. Serikali inayokataa hata kuendesha ile gereji ya pale Ubungo *wenyewe wanaiita stendi ya kimataifa ya mabasi!* kisa eti apewe mzabuni au mkandarasi! Pale kila kitu kinapokuwa mikononi mwa watu binafsi na ukiwa na viongozi waroho, hali ya udhibiti inazidi kuwa ngumu na shaghalabaghala. Pia ikizingatiwa suala nyeti la hivi sasa la EAC Common Market ambapo wasaka ajira wataongezeka nchini.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Dec 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Africa has never been ready. And her leaders, for a large part are a reflection of the people they lead. Therefore if the leaders aren't ready (for whatever that is) then definitely the followers aren't ready!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Like many others, she is doing a hell of a job talking a good game which is nothing new. I've heard it all before.
   
 10. T

  Tiger JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kusikiliza kipindi fulani BBC radio(ya kiingereza) kilikuwa kinaitwa why is Africa poor?

  Yule mtangazaji alijaribu kutembelea nchi kama Kenya, Nigeria na nyinginezo ambazo sizikumbuki kwa sasa.
  Aliongea na watu tofauti zaidi wakiwa watu wanaofanya shughuli zao za kilimo na biashara pia Watumishi wa serikali.
  Kati ya mchango uliotolewa na wachangiaji ni pamoja na kuwa viongozi wetu wengi ni warafi tena nakumbuka statement moja iliyosemwa kuwa katika nchi zetu "THE WINNER TAKES ALL" ndiyo kinacho tumaliza.
  Mbali ya hilo nakumbuka kuna mchina mmoja alihojiwa, japo hakutaka kusema wazi wazi lakini alionesha kusema kuwa waafrika ni wavivu wa kufikiri na kutenda au mkutekeleza wajibu wao(siyo wote). Alitoa mfano akisema kule kwao kuna maeneo ambayo hayakaliki au kulimika kirahisi lakini wao wanaishi huko na wanalima na aliongeza kwa ukimchukua muafrika akaishi huko basi anaweza kufa njaa, alishangaa kuona watu wana aridhi ya kutosha lakini wanalia njaa kila siku.
  Pia nakumbuka kuna dada mmjo wa Nigeria ambaye yuko kwenye mkakati wa kuondoa umasikini huko kwao yeye alisema wa kulaumiwa ni wazungu walio tutawala na kutunyoya na kutuacha masikini.

  Mimi hata bada ya kusikiliza hayo na mengine ambayo ni meyasikia na kuyasoma niliishia kwenye hitimisho kwamba shida yetu sisi iko kwenye MIND STATE i.e the way we think,
  watu wengi bado wanafikiria kinyonge,kitumwa na mbaya zaidi wanafikiria kimasikini.(miafrika ndivyo ilivyo)
  Hii inaanzia kwa mtu mmoja mmoja mpaka taifa.
  Mfano:
  kuna watu wanalia umasikini na kwamba hakuna ajira lakini kilasiku unawakuta kwenye vijiwe kupiga soga,kuvuta bangi,kucheza bao,umbea na kutupia lawama kwa wengine lakini wao wanashindwa kufanya kazi yoyote.
  Ukija upande wa VIONGOZI bado shida ni hiyo hiyo MIND STATE watu wanawaza kutawala maisha yao yote,kubadili katiba,ufisadi wakiamini the winner takes all.

  Wenzetu wachina, wahindi na wazungu naona wanuchungu na nchi zao mbali ya kuwa na mafanikio yao binafsi.

  Ni mawazo yangu tu, siyo lazima iwe sheria
   
 11. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Maendeleo bila foreign aid is possible /case study kenya(samahani wazalendo)Kenya govt. recently issued so called infrastructure.The bond was oversubscribed by 45% raised Ksh 18.5 billion(received bids worth 26.9 billion).The money raised wil be spent on water supply,sewage,irrigation project etc.Note Kenya during Baba Moi era survived withought aid kwa kipindi kirefu tu.
   
 12. T

  Tata JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,740
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 280
  YES AFRICAN COUNTRIES CAN ACHIEVE THEIR GOALS WITHOUT FOREIGN AID.

  In fact foreign aid is part of the problem and must be eliminated to let Africans use their brains to find solutions their problems. However, there are a couple of revolutionary prerequisites for enabling African countries to unleash their potential.

  (i) Get rid of cyclical general elections and use the money saved from these costly cosmetic elections for developmental purposes. Instead of having a political president, we may consider coming up with Competitive Selection Procedures where competent people with proven track record of performance will apply for the job and offered renewable contracts to be presidents for a specified period of time - five years. The contract will be accopmanied with performance targets and can be terminated anytime if the country's CEO is non-performing. The country's CEO will be appointed by the parliament which is explained below.

  (ii) Remove the existing parliament and ward councils and create lean representative organs that will draw members with the best brains from academic institutions, cooperative societies, religious institutions, farmers representatives, and province leadrs etc. The maximum number of this organ should be 50.

  (ii) Get rid of political parties both ruling and opposition and use the funds generated to create strong regulatory framework to manage and promote economic growth.

  (iii) Overhaul the existing colonial bureaucratic government structures and create vibrant, lean structures to be manned with the best brains of the land. We need a Government with a maximum of 5 ministries which will be manned by professional - non-political CEOs. These CEO's should be appointed after competitive selection procedures involving applicants from both inside and outside the country.

  (v) Create autonomous provinces - maximum of five - and let them run the affairs of their respective provinces professionally and they will be members of the new parliament. This is called decentralization and devolution. This will leave the Federal/central Government with only a few critical issues to handle.

  (vi) Overhaul the current corrupt Judiciary system and create a professional efficient judiciary which is managed by independent judges and has mimimum interference from politicians. Revise all existing laws and ensure that our courts are efficient and effective.

  (vii) Embark on massive civic education starting with our kids by telling then that we are RICH, OUR CONTINENT IS THE MOST BLESSED WITH RESOURCES and THAT OUR DESTINY IS IN OUR OWN HANDS. There is nothing like a DONOR country in the world.

  (Viii) We should stop this blame culture whereby every problem we are currently facing is associated with someone/something else be it slavery, colonialism, world economic order, America, China and everybody else except ourselves.

  (Viii) Invest heavily the tax payers money in education, health and infrastructure. These should be key performance indicators for any person aspiring to be the Country's CEO.

  There are many other specific measures that can be taken to operationalise the above massive changes which will be discussed and agreed by all the people.

  WE CAN ONLY CHANGE OR CURRENT STATE OF HELPLESSNESS IF WE START USING OUR BRAINS TO BRING ABOUT ECONOMIC GROWTH FOR OURSELVES AND OUR KIDS. WE SHOULD STOP STORING OUR BRAINS FOR MAGGOTS WHEN WE ARE DEAD AND BURRIED.
   
 13. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #13
  Dec 31, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wakuu,

  kabla hatujachangia zaidi, what is our understanding of the term foreign aid?...Kisha baada ya hapo tuzidi na michango. I will post my opinions at the opportune moment maana huu ni mfupa mkubwa eti.

  Regards.
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Why do you think that Africa is not ready?
   
 15. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ni mawazo yako; lakini ni ukweli mtupu ukiweza andika kitabu kizima. Sio hadithi za huyo dada asieleezea how we implement those changes and what role does the social thinking has.
   
 16. T

  Tiger JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa hiyo comment yako mkuu you are among those open minded people. I know you through your posts.

  Najitahidi sana kuweka mawazo yangu katika karatasi na kuya hifadhi, tena kuna mengine ukiyasikia unaweza kushanga niliyatoa wapi? Mungu akipenda natumaini siku moja nitafanya kitu kama hicho.

  Asante sana.
   
 17. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  all the best on your quest tunasubiri hizo ideas ni worth waiting for; many seems to ignore the subject.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa; na tukumbuke kwamba we have all the tools plus watu... Tatizo ni siasa tu!! Our policies are self sufficient as long as we all tighten our boots na kukubali negative growth at least for a year..
  • Ukiangalia hata hizo foreign aids, about 40-50 percent zinarudi kwao wenyewe, i will give you an example ya development programs ambazo wao huchukua NICRA, mishahara na overheads zote tunalipa kwenye local accounts but they are for them etc
  • Ukija kwenye natural resources, tunazo na naangalia capital investiments tunaweza kusuuport kwa kuangalia liquidity ya institutions zetu
  • tumeona even local initiatives za kenya na indonesia zilivyosaidia na hata hapa nyumbani efforts za baadhi ya agroeconomic investiments, although ni kwa level SMEs
  • tunaona hata real estate industry imeanza kuibuka na percentage ya FDI wala haijawa domidant
  Yes it can be done... Cha maana ni kuondoa fikra tegemezi hawa kwa wanasiasa wetu
   
 19. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Is africa ready to achieve its goals without foreign aid?...YES INDEED

  Bottom line: Why consume something which you cannot produce?
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Let us ask our self as follows: Is Africa really fragmented, and has independence been achieved on this great continent only to see the African nations themselves transform differences into divisions?

  One of the thinker said, the forces that unite us are intrinsic and greater than the superimposed influences that keep us apart. I believe if we can execute these forces, African is more than ready to achieve our goals without depending on foreign aid, IMF, EU, etc.

  Today, unity in Africa is needed more than ever in the face of growing world blocs and economic dominance. It must be pointed out here that unity is all-encompassing, and cannot be restricted to economic or political unity alone.

  Kama mnakumbuka, Pliny 'the Greek" who once said as follows: "There is always something new coming out of Africa."

  What has happened to this impetus of creativity? Have we buried it under piles of worthless euro-centric theories – to the extent that we always have to copy from them or seek their approval in anything we do?

  Is Africa Ready to achieve their goals without Foreign Aid and euro-centric theories?

   
Loading...