Irizi ya mama mwenye nyumba

Irizi ya mama mwenye nyumba

embojo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
175
Reaction score
41
Ya Leo Kali nimekuta irizi kwenye dirisha la nyumba nliyopanga,yaani mpaka nimeishiwa Nguvu kabisa,nishaurini nimprovoke huyu mama au ninyamaze na kuichoma tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ichukue kaiharibu mbele kwa mbele

ImageUploadedByJamiiForums1395172715.170264.jpg reference hiyo hapo wacha tuongee kwa facts

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nunua fasta petrol
Af piga kiberiti
Una ujasiri kulala na kitu kama icho afu unakiona live ???
 
View attachment 145757 reference hiyo hapo wacha tuongee kwa facts

Sent from my iPhone using JamiiForums
Duuh watu wabaya humu, aisee

Kweli kabisa kwanini tuandikie mate wakati wino upo

Kama nilivyokushauri mkuu nenda kaiharibu mbele kwa mbele umkomoe, akikuuliza unamuambia hukuona kitu kama hicho
 
ya leo kali nimekuta irizi kwenye dirisha la nyumba nliyopanga,yaani mpaka nimeishiwa nguvu kabisa,nishaurini nimprovoke huyu mama au ninyamaze na kuichoma tu

sent from my iphone using jamiiforums
mkuu acha uoga...tusha watesa watu wenye imani potofu,kwa njia hiyo unachukua kitambaa chekundu unakizungushia uzi mweupe unamuwekea mlangoni asubui akiamka utamsikia watu mnaniloga hamnewezi
 
Ya Leo Kali nimekuta irizi kwenye dirisha la nyumba nliyopanga,yaani mpaka nimeishiwa Nguvu kabisa,nishaurini nimprovoke huyu mama au ninyamaze na kuichoma tu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Umejuaje kama ni irizi? mkuu ondoa hizo imani za kishirikina ukiziendekeza zitakusumbua sana, egemea kwa M/Mungu

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Umejuaje kama ni irizi? mkuu ondoa hizo imani za kishirikina ukiziendekeza zitakusumbua sana, egemea kwa M/Mungu

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Maandishi huyaoni hata evidence Za picha nlizoweka pia huzioni sasa nakusaidiaje
 
Maandishi huyaoni hata evidence Za picha nlizoweka pia huzioni sasa nakusaidiaje

Nimeona ninachojaribu kukuambia mtegemee sana M/Mungu hayo ni mambo ya kupita tu mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom