IRIS-Series bora ya kipelelezi kutoka Korea

Joined
Oct 16, 2020
Posts
92
Reaction score
196
Kama ww ni mfatiliaji wa series za Korea bas hutapinga kuhusu hili kua IRIS ndio sereis bora ya kipelelez nchini Korea.

Hii series ndio ilikua series iliotumia budget kubwa mpka pale series kama #areyouhuman na #Mrsunshine zilipotoka.

IRIS ina season 2 na kila season ina episode 20 na kuzifanya kua episode 40.episode ya kwanza ya season 1 ilioneshwa 7 March2009 na ya mwisho iliruka 14 December 2009.

Lead actors alikua Lee Byung Hun aliekua hajafanya kazi katika small screen tangu mwaka 2003.Pia lead actress Kim Tae Hee alikua hajafanya kazi yeyote tangu 2004.

Plot
Story inahusu vijana wawili Ji sang woo na Kim Hyun Jun waliokua special forces na waliapa kuwa kama ndugu wa damu.Wanakua recruited kwenye Kitengo cha NSS ambacho ni kitengo cha siri cha ulinzi wa Taifa.

Wawili hao wanajikuta katika love triangle kwa kumpenda bint mmoja anaeitwa Seung Hee ambaye ni Agent wa NSS.
Kim hyun jun amafanikiwa kua na msichana na hapo Jin Sa Woo anaamua kuzuia isia zake sabab ya rafiki yake.

Kim Hyun Jun anatumwa Budapest Hungury kweny mission ya siri,anakamilisha mission hyo na anakua persuated akiwa na jera la risasi.

Rafiki yake anapewa mission na director wa NSS Mr.Baek San ya kwenda kumuua Kim Hyun Jun akimwambia kua ni msaliti.Kim hyun jun anamuona rafiki yake akidhan amekuja kumpa msaada kumbe alikuja kumuu.Kim hyu jun anafanikiwa kutoroka na ndege lakin rafiki yake anaipga risas ndege na inaanguka.Wanamtafuta pale kwnye ajali lakin hawampati,na inasemekana amekufa

Miaka miwili baadae Kim Hyun Jun anarudi kulipa kisas katika kitengo cha NSS akishirikikana na kundi la magaidi la IRIS.

Icheki netflix,vikiapp,viu na
Www.kissasian.ch

IRIS-KBS-p2.jpg
 
Sijaona series ya kitoto kama hii.

Yaani taasisi inamtafuta mtu kwa miaka zaidi ya 10.

Kisha anakuja mwajiriwa mpya anasuggest si tutumie face id? Face id inatumika ndani ya nusu saa washampata na wanajua mpaka anapoishi na kesho wanaenda kumfuata.

Unashangaa: Hii taasisi hiko kifaa wanacho tangu muda ila hakuna aliyewahi kusuggest wakitumie, yet huyo mtu ni muhimu kwa usalama.

Ndiyo maana hua siangalii series ujinga ujinga mwingi sana na kuona wenzao hawana akili.

Bora nilivyoangalia Spartacus, Dead Zone na 24 sikujuta kupoteza muda wangu.
 
Netflix naona wameichukua hii series muda wowote wanaachia IRIS III.

Season II nasikia waliharibu kabisa ikanifanya nisiitafute kabisa.
 
Hiv mtu unawezaje angalia product za nchi nyingne mbal na holywood..sielew...mim product low budget hata itoke nchi gan suangalii..labda marekan.....inshort tunatifautiana snaa
 
Usipende kuangalia kuality over quantity kuna low budget movie nying sana kutoka Nje ya Hollywood na still zilifanya poa kweny box office
 
Sijaona series ya kitoto kama hii.

Yaani taasisi inamtafuta mtu kwa miaka zaidi ya 10.

Kisha anakuja mwajiriwa mpya anasuggest si tutumie face id? Face id inatumika ndani ya nusu saa washampata na wanajua mpaka anapoishi na kesho wanaenda kumfuata.

Unashangaa: Hii taasisi hiko kifaa wanacho tangu muda ila hakuna aliyewahi kusuggest wakitumie, yet huyo mtu ni muhimu kwa usalama.

Ndiyo maana hua siangalii series ujinga ujinga mwingi sana na kuona wenzao hawana akili.

Bora nilivyoangalia Spartacus, Dead Zone na 24 sikujuta kupoteza muda wangu.
Nimegundua Wewe Unapenda Movie tha eksi

Ila binafsi IRIS ni movie bora ya kipelelezi katika historia
 
Sijaona series ya kitoto kama hii.

Yaani taasisi inamtafuta mtu kwa miaka zaidi ya 10.

Kisha anakuja mwajiriwa mpya anasuggest si tutumie face id? Face id inatumika ndani ya nusu saa washampata na wanajua mpaka anapoishi na kesho wanaenda kumfuata.

Unashangaa: Hii taasisi hiko kifaa wanacho tangu muda ila hakuna aliyewahi kusuggest wakitumie, yet huyo mtu ni muhimu kwa usalama.

Ndiyo maana hua siangalii series ujinga ujinga mwingi sana na kuona wenzao hawana akili.

Bora nilivyoangalia Spartacus, Dead Zone na 24 sikujuta kupoteza muda wangu.
😂😂😂😂😂
 
Mimi niliipenda sana,nilicheki season zote mbili. Dah mr baek?yule dada tae he.nililia machozi season 2 mwishoni yule jamaa alipokuwa analalamika baada ya demu wake kupigwa risasi
 
Sijaona series ya kitoto kama hii.

Yaani taasisi inamtafuta mtu kwa miaka zaidi ya 10.

Kisha anakuja mwajiriwa mpya anasuggest si tutumie face id? Face id inatumika ndani ya nusu saa washampata na wanajua mpaka anapoishi na kesho wanaenda kumfuata.

Unashangaa: Hii taasisi hiko kifaa wanacho tangu muda ila hakuna aliyewahi kusuggest wakitumie, yet huyo mtu ni muhimu kwa usalama.

Ndiyo maana hua siangalii series ujinga ujinga mwingi sana na kuona wenzao hawana akili.

Bora nilivyoangalia Spartacus, Dead Zone na 24 sikujuta kupoteza muda wangu.
Mkuu hii dead zone naitafuta season ya mwisho,unaweza nipa link?
 
IRIS II waliiharibu sana bora wangeishia ile ile 1, angalau Athena goddess of war walifanya vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom