Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,265
- 3,177
Tembea huku mikoani uone. Kuna shule zina wanafunzi 600-700 ila waalimu 4 au 5. Hapo hapo kuna mwalimu mkuu n.kYaani wewe ni mpumbavu sana! Hivi kwa nini Mungu aliumba vitu vyote akamalizia mwanadamu? Majengo na miundombinu kwanza wafanyakazi baadae! Stupid!
Hiyo ya kujenga madarasa bila kuajiri ni zuga ya kuwapumbaza watu wasiofanya research na wapumbavu kama wewe. Zipi zahanati zimejengwa na magufuli hadi sasa zina wahudumu wawili. Tutumie akili wadanganyika.
Majengo bila watoa huduma ni UPUMBAVU. Na hapo Hangaya atawashika wengi.