Serikali yetu mbona hawasomi alama za nyakati!!!!!
Dodoma machinga hawajahama mjini na wanaendelea bila fujo, Dar machinga walitaka kuwahamisha maeneo ya tazara kongo na mwenge lakini yote yaligonga mwamba baada ya fujo kibao na baadae wakaona wajenge machinga complex ambayo nayo ilishindwa kuzaa matunda na machinga kuendelea maeneo ya mwanzo, Mwanza yale yale.
wanawahadaa machinga wa iringa tu kwa sasa NINACHOAMINI SUBIRI UCHAGUZI UKARIBIE UONE KAMA KUNA CHINGA ATAFUKUZWA.
Ni vyema viongozi wetu kufikiria kwa kina kabla ya kuanza kusema na kufanya hayo yanayoendelea.
Tatizo wabunge wao wanapenda vurugu na umaarufu wa kijinga
Kamanda tatizo mnanyanyaswa hivyo siku ya kampeni zikianza mkishapewa pilau na kofia mnasahau kila kitu, jifunzeni sasa.Wanacho kifanya poliCCM hapo Iringa mjini, mie nachukulia poa tu, kwani wana tujengea chama chetu (CHADEMA) kwa kasi ya ajabu tena kwa gharama nafuu.
Hivi Iringa nayo imekuwa kasikazini ?
Umaarufu upi,hivi unaweza goma au andamana kwa kudai 1000 ili hali mfukoni una 50000,wamachinga wanadai kile wasichokuwa nacho,wangekuwa nacho wasingemsikiliza Msigwa kama ndio umaarufu...Tatizo wabunge wao wanapenda vurugu na umaarufu wa kijinga
kaka Fafanua kdogo basi kivipi mkuu? Pia nalo neno.
kwi kwi kwi kwi kwi kwi analake jambo...Unapata wapi ujasiri wa kuniita mimi kaka... Ufafanuzi: Ccm ndo wanaongoza hiyo manispaa, tatizo lao ni kutaka kumkomoa mbunge. Kumbe wanajikaanga
[/TD]
kama walikowahamishia hakuna
miundo mbinu,means no wateja,hawa vijana wanatafuta rizki yao wakale
polisi?