Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,795
- 1,344
Hata hiyo Kilolo Iringa ni mzigo kwa mtu wa Ruaha MbuyuniOfisi zingebaki pale pale. Ni maamuzi ya kishamba Sana na ninaamini JAFO aliipokea hii amri kutoka Kwa mwenda zake kishingo upande. Halmashauri nyingi zilibakishwa makao makuu ya wilaya Kwa kuangalia jeographia ilivyo . Kwa ushahidi zaidi angalia jographia ya baadhi tuu ya hizi halmashauri.
Moshi v
Morogoro v
Iringa v
Nzega
Chamwino
Babati v.
Huwa nasikia Kalenga imehamia halmashauri ipiNi bonge la ushangavu hili.
Kwa ninavyojua Iringa vijini inajumuisha jimbo la Isimani tu.
Ndahihi be mluguBee...ndauli!
Na ihemi kimejengwa nini?Ruaha Mbuyuni sio Iringa vijijini ni Kilolo.
Mbona ofisi zimejengwa Kalenga?
Pigeni makofi kwa Mwendazake mzalendo mnamlilia nani sasa.Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni watasafiri mpaka Igumbilo, kisha wapande mabasi kwenda Ihemi, na wale wa Mtera watapanda bus kwa utaratibu huohuo kitu ambacho siyo rafiki kwa muda hata uchumi
View attachment 2021173
Kwani wameacha?Kuna wakati watumishi wa mohoro pwani walikuwa wanasafiri km 230 kwenda mkoani makao makuu , kibaha.!
Labda ina makusudi, imagine mtu atoke visiwani Mafia mpaka Kibaha, unatoka kwenye mkoa wako unapita mkoa mwingine halafu unarudi mkoani mwako tena, ni kama enzi zile, mtu anatoka Dar anapita Nairobi kwenda Mwanza na mwingine anapita Kampala kwenda KageraKwani wameacha?
Hapo katikati si anapita kwenye wilaya kadhaa,jiji,mkoa,wilaya then kibaha.Labda ina makusudi, imagine mtu atoke visiwani Mafia mpaka Kibaha, unatoka kwenye mkoa wako unapita mkoa mwingine halafu unarudi mkoani mwako tena, ni kama enzi zile, mtu anatoka Dar anapita Nairobi kwenda Mwanza na mwingine anapita Kampala kwenda Kagera