Vumbii mno, Upepo mkali alafu kukame balaa.
Yaani ukiishi kule Mwezi Tu ngozi inafubaa hatari.
Unakuta mdada mzuri Ila ana ngozi ngumu balaa na tongotongo hazimuishi machoni.
Dodoma hapana kwakweli.
Kufananisha mwanza na Dodoma ni uwehuCha kushangaza kuna uzi eti watu wana compare Dodoma na Mwanza nilibaki nacheka tu. Mwanza kweli ni ya kulinganisha na huo uchafu hapo
Hili swali muulize kibajaji.Hua najiuliza lisu alishindije uchaguzi marambili Kanda ya Kati ubunge najiulizaga sana
Ungeleta na picha za dodoma tulio mbali tulinganishe. La sivyo unapiga porojo tu baada ya kulewa ulanzi wa buku.Kiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.
Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.
Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia ad pembeni aisee nilipita nilishaangaa
-pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.
Checki baadhi ya sehemu za iringa zilizotulia.
View attachment 2274857
Utakuwa unamatatizo makubw sanaKiufupi haka kamji kamejengeka vizuri.
Kuna haja ya kupewa jiji sasa!
Ingawa iringa iko concetraced at center lakini kuna uzuri ambao hauko sehemu nyingine.
Kwanza pale town center hapana vumbi hata moja wamesakafia ad pembeni aisee nilipita nilishaangaa
-pili inasehemu kubwa ya mji tofauti na Dodoma.
Checki baadhi ya sehemu za iringa zilizotulia.
View attachment 2274857
Tanga na Dar as salaam kipi wanachozalisha wenyewe?Mkoa wa hovyo sana huu!
Hauna eneo la kupumzikia..
Vumbi kupaukaa..
Kila kitu kinaagizwa mikoani..
Sio sahihi kulinganisha Mwanza na DodomaCha kushangaza kuna uzi eti watu wana compare Dodoma na Mwanza nilibaki nacheka tu. Mwanza kweli ni ya kulinganisha na huo uchafu hapo
Morogoro nakukubalia sana ndio hilipaswa kuwa jiji na sio Dodoma au TangaHa ha ha ha bora nijitulize hapa morogoro hata kama ni manispaa lakini ni Kuna majiji hayafui dafu
Halafu wanasupport watu mambo ya Ajabu kweli iringa unaifananisha naDodomaShida mnaenda dodoma pesa hamna mifukoni mwenu, jiji la dodoma ni kama Dar ukiwa na pesa hakuna dhambi utaacha kuona ila kama huna pesa wewe nenda huko iringa na mwanza mkapuyange na washamba wenzenu. Na akili za mtoa Mada haziko Sawa yani unafananisha jiji lenye kila wizara, bunge, chuo kikuu kikubwa Africa mashariki, malls za kutosha na Iringa yenye maziwa ya asasi na karenga hotel chenye ghorofa tatu. Mshamba kweli wewe
Sio kweli hamna mkoa wenye mazingira ya kinyamwezi sana kama Dodoma kwa sasa.