TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

RPC atasema polisi hawatumii risasi za moto. Polisi itaunda tume kuchunguza. Polisi itatangaza yenyewe kama waliomuuwa nu CDM! Kila kitu wao!

Hata daktari atakayechunguza polisi ndiyo watatangaza matokeo!
Kujichunguza,,,,,,,,,
hongera yao maana wana profeshno LUKUKI
By the way serikali ina jibu gani kwamba leo hii CCM wanafanya mkutano wao lakini CDM hapana.

itajichunguza ,,,,huwenda ina wataalam lukuki
 
Mwwenyekiti na chama cha waansishi wa habari mkoa wa iringa na mwandishi wa habari wa chanel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa chadema mufindi

Hatuna uongozi nchi hii ni aibu!


Unajua mazingira aliyokuwa wakati anapigwa risasi? polisi walikuwa wana-target waandishi wa habari, au alikuwa katikati ya umma?

Wacha utukutu kaka/dada it doesn't matter where he was, and the circumstances, we aren't in a banana republic. Its time polisi wasibebe silaha za moto uraiani this is too stupid!

 
Mbowe alishawahi kusema mkiona kuna vurugu jua anayeanzisha ni ccm sio cdm, sounds true maana kila polisi wanapokuja kukabili watu wanaofanya mambo yao kwa amani wao wanaleta vurugu. It is early to blame but i suspect there is something fundamentally wrong the way police system deal with political activists in the country
 
Kweli TANZANIA BADO INAHITAJI KAMA MIAKA 100 NDIO TUIFIKIE DEMOKRASIA YA KWELI ACORDING UHURU!
 
Nadhani sasa ni wakati wetu raia kuanza kuua polisi popote walipo. Watatutenda hivi mpaka lini? Shime tuamke.
 
Ohooooo,amefariki????
Narudia tena,tunaanza kuzoea vifo vya staili hii,mmesahau ya NYAMONGO???WIKI BADO,POLISI WAMEUA WATU WAWILI
 
RPC atasema polisi hawatumii risasi za moto. Polisi itaunda tume kuchunguza. Polisi itatangaza yenyewe kama waliomuuwa nu CDM! Kila kitu wao!

Hata daktari atakayechunguza polisi ndiyo watatangaza matokeo!

By the way serikali ina jibu gani kwamba leo hii CCM wanafanya mkutano wao lakini CDM hapana.

Yesi -- polisi watapora kila kitu katika kupata ukweli. watakuwa wachunguzi, madaktari, majaji, na hata askari wa magereza wao tu. Hawana hata haya! Shenz.
 
wasi wasi wangu ni jinsi vijana wa kitanzania na jinsi tunavyozipokea taarifa kama hizi na kuzivisha siasa
 
kwahiyo una maana hao watanzania ni less of the citizens?kwasababu ni watu wa chini basi hawana haki?
Nina wasi wasi sana na ubongo wako.IQ yako very low hata ku reason huwezi.Pole sana.
nyie lazimisheni maandamano lakini hayo maandamano ndio mnatafuta kutoweka kwenye ramani ya vyama vya siasa, iko wapi cuf ngunguri, wapi Nccr , kimsingi hiyo huruma mnayotaka kutoka kwa wananchi hamtaipata kwa staili ya maandamano
 
Tafadhali fuatilia kwa kina na utupe taarifa zilizo sahihi. Kama ni kweli atakuwa amepigwa na kitu kilichoruka hewani chenye ncha kali.Tusubiri taarifa zaidi za uchunguzi wa Polisi ili tuwe na uhakika wa kilichotokea.
 
"how long shall you kill our prophets while we stand aside and look!!" Bob marley!
 
Back
Top Bottom