Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Hili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".

Jamii yetu inapaswa kubadilika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".

1 Kor 6:9​

Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
 
Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
Uzoefuu huoo😂😂😂
Sasa jamaa hajawahi kuumizwa,au kupigwa kibuti hapo lazima apagawe

Ova
 
Hili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".

Jamii yetu inapaswa kubadilika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
Wewe umelichukulia kwa imani yako
Je wengine ambao wako tofauti na imani hizo.?
Mapenzi ni neno tu.
 
Si ukute alipiga shoo hadi binti akazima mazima. postmortem examination report inasemaje ndio hoja ya msingi, alinyongwa kweli, alibakwa na mtu mmoja au zaidi, anal hole ikoje, kila kitu kichunguzwe, ana michubuko, uvimbe, mvunjiko etc.
 
Inategemea hilo neno "mapenzi" unalitumia katika muktadha upi. Mimi nimemaanisha matumizi ya hilo neno katika mahusiano. Wenye akili zao kichwani wamenielewa.

Suala siyo muktadha bali mtumiaji alichagua maana gani kwenye neno moja lenye maana zaidi ya moja. Hapo upo, Mr Kukariri!???
 
Kuua halijawahi kuwa suluhisho la matatizo.
Umri wao unadhihirisha bado hawakuwa na ujasiri wa kukubaliana na matokeo baada ya mmojawao kubaini tabia za mwenzake.

Kuna umuhimu wa wanafunzi kuelimishwa kuwa wawe wanajikita sana na kilichowapeleka Chuo ni masomo na sio mapenzi.
 
Inasikitisha sana, vijana wadogo kabisa maisha ndiyo yameishia hapo, hii hatari kabisa.
 
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa Amani
 
Back
Top Bottom