Iringa Municipality: The Photo Gallery

Kasi ya ujenzi wa majengo ya ghorofa kwa Iringa umatamalaki, ukitoa Dar na Mwanza, Iringa inaweza kufuata kwa kasi ya ujenzi wa maghorofa, nimepita CBD ya Iringa kuna maghorofa zaidi ya 12 yapo underconstruction
 
Iringa endeleeni kupambana mtafika mbali mpo vizuri kuliko baadhi ya majiji mko mbele ya Mbeya na Tanga kwa skyline nzuri na ya kuvutia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…