Nimesema hapo juu.. jamaa akaanza sijui nini mara shughuli za maendeleo... lkn ukweli mikoa kariba yote inafanana tu..Iringa nimekaa sana... Shinyanga nimepita tu.. Mikoa yote haina kitu cha ajabu sana though iringa inakua sana tofauti na shy... Ukiachana na infrastrucrure mpya. Iringa pale mjin n padogo sana..n pamekua scattered. Shinyanga mjin n pakubwa kiaina ila mji umepoa sana.. Bila kusahau baiskeel kama usafiri.. All n all Mikoa mingi ya nchi inafanana sana.. Interms of majengo.. Mengi ni yalijengwa miaka ya nyuma sana au Meng ni ya wahindi.
Post sent using JamiiForums mobile app
Bukoba mbona unaionea kihivyo au hauufahamu vizuriKwa maoni yangu labda ingekaa hivi,
Arusha/Mwanza/Dodoma
Tanga/Mbeya
Iringa/Morogoro/Moshi
Shinyanga/Tabora/Singida
Songea/Kigoma/Mtwara/Bukoba
Post sent using JamiiForums mobile app
😀😀😀😀😀Mji wa Shinyanga ni hovyo sana..
Ila Shinyanga imepangwa ikapangika vizuri
Naona round about ya Wippy Dodoma nayo imehamia DodomaIringa![]()
Mikoa haifanani acha kulazimisha ujinga, utaona inafanana kama imepita tu na bus hujazunguka maeneo tofauti tofauti na wilaya zake in short labda useme stand na barabara zinafanana.Nimesema hapo juu.. jamaa akaanza sijui nini mara shughuli za maendeleo... lkn ukweli mikoa kariba yote inafanana tu..
Post sent using JamiiForums mobile app
Jamaa mgumu kweli kuelewa,Nimesema hapo juu.. jamaa akaanza sijui nini mara shughuli za maendeleo... lkn ukweli mikoa kariba yote inafanana tu..
Post sent using JamiiForums mobile app