Iringa: Kondomu zaadimika, Baraza la Madiwani lazua mjadala

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume(kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo madiwani hao wamedai linakwamisha mapambano dhidi ya UKIMWI na kudai kuwa mipira hiyo haipatikani kwenye nyumba za wageni na maeneo ya starehe.

IMG_20210902_071244.jpg
 
wakati huhuo Mkoa wa Iringa unashika nafasi ya 2 kitaifa kwa maambukizi ya Ukimwi.

Njombe inaongoza kwa Maambukizi ya Ukimwi.

Mbeya inashika nafasi ya 3 kwa maambukizi ya Ukimwi.
Chukua tahadhari Ukimwi unauwa.
 
wakati huhuo Mkoa wa Iringa unashika nafasi ya 2 kwa maambukizi ya Ukimwi.
Njombe inaongoza kwa Maambukizi ya Ukimwi.
Mbeya inashika nafasi ya 3 kwa maambukizi ya Ukimwi.
Chukua tahadhari Ukimwi unauwa.
Kwa hyo, kw mujibu wa takwimu hizo, kanda ya kusini hawataki masihala kwenye kutoa nyegezi?
 
wakati huhuo Mkoa wa Iringa unashika nafasi ya 2 kitaifa kwa maambukizi ya Ukimwi.

Njombe inaongoza kwa Maambukizi ya Ukimwi.

Mbeya inashika nafasi ya 3 kwa maambukizi ya Ukimwi.
Chukua tahadhari Ukimwi unauwa.
Hiyo mikoa yote kuna baridi kali
 
Back
Top Bottom