Iringa kimenuka

vipi unaonaje na kwa wale wanaotumia malory ya mchanga kuomba watu, je tuwafanyaje mkuu....?
 
vipi unaonaje na kwa wale wanaotumia malory ya mchanga kuomba watu, je tuwafanyaje mkuu....?

Washughulikiwe aisee.
Hivi ushaiona ajali ya roli lililobeba watu?
Ajali hiyo ni mbaya sana kuliko ya basi.
 
Mch.​

Ukitandikwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia. Piga magoti uwaombee hao mapolisi wabadilike. Uchungaji na siasa hizi za kinafiki wapi na wapi. Njaa tu na usakatonge kudadadeki!
 
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?

Naona Lizaboni sasa umetulizwa. Hakuna jipya. Kaburi linachimbwa lumumba. Msiba utakuwa mtaa wa luthuli.

Vote for UKAWA; vote for Lowassa.
 
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?

elimu bwana ndo mana liwasa kaiwekea vipaumbele...liza hajui chanzo eti..
 
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?

Mwendo mkali wewe ulikuwepo Iringa?
labda tuma picha ya kichwa chako ili tujue huwa tunaongea na mtu wa namna gani maana haujawahi kuchangia Point hata siku moja
 
Abiria pamoja na wanachadema waliokuwa kwenye kikao uko wapi wewe?
 
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?

Mkuu inabidi uwe kichaa kuipokea taarifa hii na kuiamini zaidi ya watu mia moja ndani ya basi la NGANGA hivi kuna mabasi ya abiria 100 PSV siku hizi? Kama hakuna hiyo nafasi ya hao abiria ilitoka wapi kwenye hilo basi? HAKUNA CHA SIASA HAPO POLISI WAPO KAZINI BILA KUJALI VIDOLE VYA WAJINGA MKUU HATUWEZI KUKUBALI WATANZANIA WAPOTEZE MAISHA KWA USHABIKI WA SIASA ZA MAZINGAOMBWE.
 
Baambie bana hayo maccm hawa hayasikii na wananchi hawawataki mnajilazisha kama kupe
 
Ccm naongea Leo kwa Mara ya Kwanza, inaondoka na haiwezi kuamini lkn ni ukweli, ss kila wanaposhika hapashikiki
 
Amakweli mfa maji haachi kutapa tapa, kote huku ni kutapa tapa na kutaka kuwatia hofu wananchi ila badala ya kuwatia hofu mna watia hasira na mwishowe wata waadhibu hapo October 25.
 
Tuwe wakweli jamani, askari hawezi kumkamata mtu eti kwa sababu ya kunyosha vidole viwili juu! Lipo kosa litakuwa limefanywa na gari hilo la nganga
 
Zaidi ya raia 100 wanashikiwiliwa na polisi, pia basi la nganga lipo chini ya ulizi baada ya abiria kuonyesha ishara ya vidole viwili, picha na more updates zitafuata muda huu. asante

October 25 ndio mwsho wa udhalimu wa CCM watanzania tumechokaaaa jaman
 
Habar hii ni ya kweli ila sema mtoa maada kachanganya kuandika ni watu mia moja wakiwemo abiria Wa basi la nganga
 
Comrade hujaelewa bandiko limemaansha nini?
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?
Polisi kama wanatumika wasiambiwe kwa lipi?
 
Dalili za utawala kuanguka wanadhani watazima nguvu ya mabadiliko kwakukamata watu hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…