Iringa kimenuka

Haliali

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
574
Reaction score
263
Zaidi ya raia 100 wanashikiwiliwa na polisi, pia basi la nganga lipo chini ya ulizi baada ya abiria kuonyesha ishara ya vidole viwili, picha na more updates zitafuata muda huu. asante
 
Attachments

  • Screenshot_2015-09-28-20-37-30.png
    126.2 KB · Views: 5,417
Ccm inanuka wana nchi wanaichukia kwa sababu inanuka!
 
hahaha. polisi wamewashikilia raia wasiyo na hatia zaidi ya mia moja. na sasa wako kwenye bwalo la polisi. hii inadhihirisha yale maneno kuwa ccm haipo tayari kuachia hii nchi, ngoja tusubiri tar 25 oct tuone nini kitatokea
 
Polisi wanatumiwa
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?
 
hahaha. polisi wamewashikilia raia wasiyo na hatia zaidi ya mia moja. na sasa wako kwenye bwalo la polisi.
Unajichanganya mkuu. Yaani hata unatia huruma. Hiyo picha uliyoweka haioneshi kushikiliwa kwa raia. Umesema aliyeshikiliwa ni dereva na sasa unasema abiria 100. By the way nikuulize swali. Unafahamu basi kubwa linabeba abiria wangapi? Hao abiria 100 walikaa vipi kwenye basi moja? Uwe unatumia akili mkuu. Uongo mwingine ni kujidhalilisha
 
Polisi wacha wafanye kazi yao maana huo ulikuwa utovu wa nidhamu. Mi nilikuwa bus la Abood. Vijana siasa haijaanza mwaka huu
 
Chuki yenu dhidi ya polisi haisaidii. Mleta mada hajasema huyo dereva ana kosa gani? Kama alikuwa anaendesha mwendo mkali kwa nini asiahikiliwe? Akisababisha vifo nani atalaumiwa?

abiria walisema peoplesss power, yametokea yaliotokea mbeya jana.

Magufuli aliaibika sana kule mbeya, sasa wanajaribu kuzuia isitokee hapa iringa. kweli mabadiliko ni lazima
 
abiria walisema peoplesss power, yametokea yaliotokea mbeya jana.
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?
 
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?

Unahangaika sana wewe! Kenya kuna kiongozi wa KANU alitoa amri watu watembee na visu vikali vya kukata vidole vya watu wanaoonyesha alama ya V lakini walishindwa
 
Nadhani wewe umechanganyikiwa. Unasema Iringa kimenuka then unasema yametokea Mbeya jana. Lipi ni lipi?

asante. kwakifupi watu wairinga wame copy na ku paste yawale jamaa wambeya ya zomea zomea.
 
Khaa!!! Abiria 100 kwenye nganga... Basi linachukua takribani abiria 60, sasa hao 40 sijui walikaa vipi kwenye ilo basi....... Huu sio uongo tu, bali haya ni matusi...
 
Khaa!!! Abiria 100 kwenye nganga... Basi linachukua takribani abiria 60, sasa hao 40 sijui walikaa vipi kwenye ilo basi....... Huu sio uongo tu, bali haya ni matusi...
soma vizuri post, nimesema wananchi 100, (pia), maana yake kuna makundi mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…