Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Nipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia CHADEMA. Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa, dada Mtangasavangu.
Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.
Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kurudia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.