Iringa imemchoka Msigwa!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Nipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia CHADEMA. Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa, dada Mtangasavangu.

Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.

Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kurudia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
 
Nipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia Chadema.Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa,dada mtangasavangu.

Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.

Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kuridia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
Umemchoka wewe si mbona ndo mpya kwetu
 
Sema rais kamchoka, na vile yeye ndio anaagiza tume ya uchaguzi na jeshi la polisi lihakikishe mwanaccm anatangazwa mshindi, hapo hakuna la kushangaza. Hao wananchi mnawatumia tu, lakini rais ameshaamua nani atangazwe mshindi chini ya awamu hii ya kujimwambafai.
 
Nadhani wewe huijui Iringa.

Msigwa hakushinda kwa sababu ya Lowassa bali itikadi za wanyalukolo na Msigwa alianza kumdondosha Monica Mbega 2010 ikadaiwa vijana walichukizwa kukatwa Mwakalebela.
2015 wakaletewa Fred kisingizio kikawa eti Mwakalebela ni Mnyachusa!

Kumng'oa Msigwa ni lazima CCM iweke mtu makini mkishindwa kabisa muwekeni mwarabu Salim Asas maana itakuwa hamna namna.
 
sio msigwa tu

wananchi wameanza kuona upinzani

hamna kitu kelele mingiiiiii kupenda kesiiii

kuliko maendeleo ya majimbo yao....
Ccm ilishachokwa kitambo wananchi hawana cha kufanya kama inapendwa msingehangaika kuwatuma polisi wazuie mikutano na kuwabambikizia kesi
 
Nipo hapa Iringa ninachoshuhudia ni hali ngumu kwa Msigwa ambaye kwa sasa ni Mbunge kupitia Chadema.Mwaka 2015 Msigwa alipita kwa nguvu ya wafuasi wa Lowassa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa,dada mtangasavangu.

Hali ni ngumu kwa Msigwa sasa amefikia hatua ya kufanya makosa ya jinai ili akamatwe na polisi angalau kupata kisingizio cha kuzuiwa na polisi.

Nimalize kwa kusema Msigwa ni Mbunge mwingine ambaye anaenda kuridia kazi ya kuuza mitumba ili wana-Iringa wapate maendeleo.
Nilikaa na Sugu siku moja akaniambia lazima nifanye niwezavyo na Mimi nifungwe ili nipitie Yale aliyo pitia role model wangu 2-PAC na MANDELA
hapo ndiyo àkaanza fujo zinazo kera ilimradi tu afungwe na alifanikiwa katika hilo
Yeye hakuwa na mpango Wa kufanya maendeleo alikua anatengeneza CV yake
Nadhani huu ndiyo mwaka wake Wa mwisho bungeni ntamiss vituko vyake maana sijawahi kumuona akitoa hoja
 
Sema rais kamchoka, na vile yeye ndio anaagiza tume ya uchaguzi na jeshi la polisi lihakikishe mwanaccm anatangazwa mshindi, hapo hakuna la kushangaza. Hao wananchi mnawatumia tu, lakini rais ameshaamua nani atangazwe mshindi chini ya awamu hii ya kujimwambafai.
Unajua kujiliwaza mpaka raha
 
Nadhani wewe huijui Iringa.

Msigwa hakushinda kwa sababu ya Lowassa bali itikadi za wanyalukolo na Msigwa alianza kumdondosha Monica Mbega 2010 ikadaiwa vijana walichukizwa kukatwa Mwakalebela.
2015 wakaletewa Fred kisingizio kikawa eti Mwakalebela ni Mnyachusa!

Kumng'oa Msigwa ni lazima CCM iweke mtu makini mkishindwa kabisa muwekeni mwarabu Salim Asas maana itakuwa hamna namna.
Hujui kitu wenye akili akina Jafary wanaaga
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom