JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,462
Hili suala la wadada poa kama likiwekwa vizuri linaweza kupunguza maafaKijana mdogo kajitafutia balaa mwenyewe,Madada poa kibao wapo mtaani,anafuata vitoto vidogo ngoja akajifunze huko
Inabidi hizi mahakama nazo ziwe makini, isijekuwa huu ni wivu WA mafanikio ya huyu ndugu mtu amemnenea mabaya na kujiapiza ataona!! Pia wachunguze uhusiano WA mama WA huyo mtoto na huyo kijana!! Inaweza kuwa kesi ya kupikaMtoto wa miaka 10,hapa nahisi imani za kishirikina zitakuwa zinanahusishwa...
Wangesubiri msimu wa baridi la Iringa uishe ndiyo aanze kutumikia kifungo.
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10.
Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo alimwambia mwathirika achague moja, kuuawa au kubakwa.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mkuu Saidi Ally Mkasiwa alimpa nafasi mtuhumiwa kujitetea lakini alibaki kimya.
Mtuhumiwa huyo ambaye amewahi kuwa na kesi kadhaa za ukatili wa kijinsia siku za nyuma na alifikishwa Mahakamani lakini hakuwahi kukutwa na hatiani.
Chanzo: Azam TV
Kifungu hiki hakina mantiki, kibadirishwe na faini itoke serikalini kwani anaenda kutumika serikalini.sasa hiyo faini ataitoa wapi, au watauza bajaji yake
Acha kukimbilia Imani za kishirikina kila kitu,Mtoto wa miaka 10,hapa nahisi imani za kishirikina zitakuwa zinanahusishwa...