Irene Uwoya

Kama mwanamke ni maua, basi ikubalike kuwa huchanua na wakati ukifika hunyauka au kusinyaa.

Kama mwanamke ni tunda basi ikubalike kuna wakati huvutia mlaji kulichuma na kulila na likichelewa kuchumwa huiva sana na kurojeka na kupoteza mvuto wa kutaka kuchumwa bin kuliwa.

Na watu wote waseme Amen.
 
Amen.Kama nazi ishakuwa mbata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…