Umenena mdau, who cares?!! after all its her own demn business je kama alikuwa anaigiza movie??hivi kwanini tulio wengi tunapenda kushughullika na maisha ya watu kuliko ya kwetu HII NI DALILI YA MTU ALIYESHINDWA unatafuta pa kupumulia masifuri yako
- ukiangalia picha hizo dogo p.diddy, utaona kwamba binti huyo ni mzuri sana wa sura na hiyo ndio sababu ya kuolewa kwake na si kama unavyojaribu kuushawishi dunia; hatudanganyiki acha wivu!