Irene uwoya ulilazimishwa ndoa ama uliamua kutoa gundoa la kuolewa??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
HII NDOA ILILAZIMISHWA AMA NDIO MAMBO YA KUPULIZIWA SHEMEJI YETU JAMANI??

Mr. & Mrs Ndikumana wakivishana pete za ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam Jana
 
Attachments

  • uwoya 4.jpg
    uwoya 4.jpg
    21.5 KB · Views: 477
  • uwoya 5.jpg
    uwoya 5.jpg
    18 KB · Views: 453
  • uwoya 2.jpg
    uwoya 2.jpg
    22.9 KB · Views: 425
  • uwoya 3.jpg
    uwoya 3.jpg
    18.9 KB · Views: 355
  • UWOYA.jpg
    UWOYA.jpg
    51.5 KB · Views: 470
  • ndio mimi.jpg
    ndio mimi.jpg
    15 KB · Views: 571
Ndoa ya Irene Uwoya ambaye ni nyota wa filamu za Bongo na mcheza mpira wa kimataifa, Ndikumana 'katauti' ambayo ilifungwa jana katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam, ilikuwa kama igizo la filamu kutokana na kuwepo kwa matukio nadri kwenye harusi za Bongo.....

harusi1.JPG

...hawakutumia benzi wala luxury car nyingine, bali walitumia 'pick-up' ..

harusi2.JPG

LAIT MUNGU ANGEKUWA AKIONYESHA VITUKO BAADA YA NDIO VINAVYOFATIA WENGI HATA MAKANISANI WANGEOGOPA KWENDA KUSALI..TUMSHUKURU MUNGU KWA HILI KWA KWELI​
 
Hizi fujo ndizo zinawafanya wana jf wakizikumbuka wengine wasioe kabisa
jamani si wote msiogope omba ssali usioe kwa kuangalia kismati/jina umaarufu utaumia
wenzio wakikungonga..labda niwape siri tu ndogo kutoka kwa aliemuunganishia huyu kimeo chetu jamaa alitumiwa picha za shigongo mfululizo vichwa vya haabari vikakatwa we akajua kakaamata chombo kumbe wanaume wanataka dollali zake

angalizo
mke mwema hutoka kwa bwana na si kwa wasanii
 
Attachments

  • WANA DOA WAKIWA MJENGON.jpg
    WANA DOA WAKIWA MJENGON.jpg
    18.6 KB · Views: 304
  • RENE WEDD 2.jpg
    RENE WEDD 2.jpg
    34.9 KB · Views: 290
  • RENE WEDDING 1.jpg
    RENE WEDDING 1.jpg
    38.9 KB · Views: 277
  • AWA NAO WALIKUWEPO.jpg
    AWA NAO WALIKUWEPO.jpg
    33.3 KB · Views: 317
  • NDOA 2 MADOA.jpg
    NDOA 2 MADOA.jpg
    27.5 KB · Views: 283
Tatizo moja makanisa ya leo yanatumika vichaka vya maharamia wa ndoa huku wachungaji wakijua kabisa hili na kuliendekeza..kumradhi kama upo hapa majuzi kuna kijana kapata mwanamke wa kizungu hana nae hata miezi miwili akaenda kanisa la lutheran hapa dar mchungaji akamwambia amwone weekend walipoonana akamwambia huyo ndie anaefaa kwa nini usubiri muda wote jumatatu nkakuta kadi nyumban jumatano harusi..so u can imagine enzi zetu ndoa ni mpka watumishi wa mungu wachunguze mmetokea wapi hapo nyuma mnakaaje lakini leo hii mtu anaenda kanisani wametoka nyumban na wanasema wanafunga harusi foolish enzi zetu akuna arusi za kihuni kama hizi

hivi unawarudisha kwanza unawaambia wakatubu dhambi zao...ndio waje kuomba kubariki ndoa leo hii kubariki ndoa kumegeuzwa kufunga ndoa lohh kazi ipo....nawapongeza wachungaji wa zamani mungu azidi kuwalinda waliostaaafu ...makanisa hayataheshimiwa kabisa kwa dizaini hii ukiuliza sana utakuta hata mmoja alihudhuria kanisani ndani ya mwezi mmoja
 
Irene-Uwoya.jpg
uyowa2bc.jpg
IRENE%2BUWOYA.jpg
Irene+Uwoya.jpg

  • ukiangalia picha hizo dogo p.diddy, utaona kwamba binti huyo ni mzuri sana wa sura na hiyo ndio sababu ya kuolewa kwake na si kama unavyojaribu kuushawishi dunia; hatudanganyiki acha wivu!
 
pole sana mkuu minda
akauna aliekuja kumdanganya mtu tunarekebisha tabia za wanandoa nikiwa kama mwanandoa naitaji kumsaidia na kumrekebisha mwanandoa mwingine mi huko nshatoka yakhe .....
 
nafikiri utopenda kuona mkeo aama bibi yako akiwa anachafuliwa na watu ovyo ama kuvaa nguo zisizo za heshima so la muhimu ni kumsaidia ajue anachofanya sivyo..pole sana...karibu tena..na wewe nikijua tabia zako wala sitokuacha kukufundisha through JF
 
wewe kitu gani kinakufanya uone kama alilazimishwa? kwanini mnatoa mapicha huko ili mje muwachambue watu hapa? haipendezi kabisa...hapa ndio namkumbuka Mchungaji Masa sasa.
 
watu kama wewe ndio mnamchafua lakini mume wake karidhika an kila kitu kwa mkewe, hii kazi mnasaididana na Mfunyukuzi?
 
Kila mtu kivyake, mtu anaishi maisha yake, hajakuomba unga, hajatumia hela yako ya kodi, hajakulazimisha umfuatilie, unaanza kumuandama?

Mijitu inayojitia kuwa "holier than thou" ukianza kuifuatilia yenyewe kwenye maisha yao utalia mwenyewe.
 
mtata kiranga kumbe upo?
 
wewe kitu gani kinakufanya uone kama alilazimishwa? kwanini mnatoa mapicha huko ili mje muwachambue watu hapa? haipendezi kabisa...hapa ndio namkumbuka Mchungaji Masa sasa.

Nyamayao acha bana picha zije ndio zinachangamsha jamvi!
 
Mchungaji Slaa wa Chadema akiona hii kama kawaida yake, atapora !!!!!!!
 
Nyamayao acha bana picha zije ndio zinachangamsha jamvi!

ni kweli Kunta, lakini mtu anapoweka picha na maelezo yake mwenyewe kutoka mawazoni mwake ili tu tuanze kudhailishana inakuwa sio vzr kabia,umeona huyo Pdidy alivyosema?""
: Irene uwoya ulilazimishwa ndoa ama uliamua kutoa gundoa la kuolewa??

tabia mbaya sana hii...unafikiri mwenye mke/au binti mwenyewe anajickiaje? wacheni kudhalilisha watu bwana, ni watu na maisha yao, kama ametoa gundu au alilazimishwa ni maisha yake.....
 
Back
Top Bottom