Irene Uwoya: Msanii anayenivutia Bongo

NoooH!! demu wa kawaida sana, badu sijaona kinacho wachanganya, hamfikii demu wangu, tulieni iko siku nitamleta hapa kwa thread

safi sana boys jifunzeni kwa ngangasyonga,make ur girl the priority afu ndo hao wengine wanafuatia
 
Irene anaishi Mbezi beach maeneo ya makonde anaetaka namba yake aniPM

nakubaliana na wewe Irine kifaa.. hadi akiwa kwenye bongop movies,.. nafasi yake anaimiliki vizuri tu
 
Irene kifaa mfunyukuzi nakubaliana nawe 200% , Hayo mengine hakuna binadamu aliyekamilika !
 

hivi hii ndoa bado ipo? Maana nasikia mrembo ni baunsa.
 
El Toro inaelekea wewe na mimi tuna ugonjwa unaofanana! Unajua sio vizuri kumtamani mke wa mtu lakini wakati mwingine jamani!
 
..Ila anatunyonyo tudogo mno..
 
Uzuri wa Msanii ni uwezo wake wa kuperform. Ata angekuwa na Sura ya Kiboko kama anaweza mambo jukwaani huyo ndo msanii. Na hii ndo iliwafanya ata watanzania kumchagua handsome
 


hapa mungu alijitahidi katika suala zima la uumbaji
 
Kila nikimuangalia huyu mrembo huwa naishiwa kabisa @ Preta upoooo??


Huyu binti katulia sana ila watu wanamjaji kwa jinsi alivyo mchangamfu na anavyopenda kuvaa lakini sisi tunaomjua si kicheche wala nini. Anajamaa mmoja tu ambaye huwa anapata mbali na mumewe. watu wanamzushia tu
 
Anapendeza sana kwenye movie za kibongo halafu watu wanamtamani lakini ndo hivyo tena mtoto si wa kupenda kila mtu ndo wanaanza kumpachika majina mengine kama kawaida ya wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…