Irene Uwoya mjamzito

jamani ivi huwa hatuna kazi mimba yake we inakuhusu nini:bored:
 
Nyie mbona mnamshambulia saaly.
Onh! Anaacha kujadili mambo ya maana wakati nyie wenyewe mmecomment.
Acheni hizo, mtoa mada hajatumia lugha mbaya kwahyo kama mada hujaipenda potezea.
 
Jamani hawa si ndio macelebrity wenyewe wa bongo au? Kama ana mimba nampongeza kwa kweli maana the so called mastaa wa kike hapa bongo wengi sijui hawapendi kuzaa au ni nini..hawana watoto. Kila kheri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom