Irene Uwoya mjamzito

ni mjamzito??!

hongera kama kweli.:redfaces:

Acha utumwa wewe...sasa ujauzito wa huyo Irene unakusaidia nini? watu msio na kazi na vyakufanya mnagundulika kirahisi sana....Rubbish.
 
sasa ukishanigundua kirahisi sina kazi,then what???unanipunguzia au kuniongezea nini mie...wacha kuongea mapumba yako hapa!!!:angry:
 
HTML:

cha ajabu hapa ni kitu gani? kwani yeye sio mwanamke wa kawaida na kupata mimba ni jambo la kawaida? au yeye ni ajabu sana kwake kupata mimba kwa vile hana viungo vyote vya uzazi?....mim sijaona issue ya kushangaza hapa....otherwise ni majungu tuu...kupata mimba na kutopata ni makubaliano ya wanandoa na pia majaaliwa ya muumba wetu.
 
he kwa hio hapa zinawekwa issue za kushangaza tu????tuma salamu basi?
 
Irene uwoya ndo nani? wengine hatumjui, tufahamishe tafadhwali

Ni Victoria Bekham wa Tanzania, our Spice Girl, ha ha ha!! Watu bana, kwani mimba ugonjwa au baraka kwa mama yeyote yule? Ni yule mke wa mchezaji wa toka huko sijui Rwanda au Burundi, khaa yaani sikumbuki maana not influential kiasi hicho kwangu!!
 
he yaone vile???mnapenda tu kumnanga dada wa watu humu kila kukicha na mavazi yake,leo kawa mjamzito fans wake tunafurahia hii habari njema kwake,nyie mnajidai kununa!?!...wachawi wakubwa nyie!:tape:

we kweli juha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom