Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Status
Not open for further replies.
Aiseee kisa pesa bidada anavumilia kuchanganywa na kishimo. Kweli Pesa sabuni ya roho
Ewaaaaaaa na mwarabu ndio huyooo na mpaka irene alikuwa na beef na mwarabu amwache kishimo anaanzaje kumuacha mjini pana mambo
 
Ni kweli wameoana aisee mastaa kibao wameconfirm jomoni. [HASHTAG]#MapovuNo[/HASHTAG]
 
Bongo movie iliondoka na kanumba.Sasa hivi wanaigiza maisha yao.
Mwenye sura ,umbo zuri na bahati ndiye anayetoboa cyo kipaji
 
Hao ndio anaweza kuwapata bado hawajielewi, wenye akili zetu hata wake tulionao tunatamani kuwaacha kila mtu aishi kwa amani tusipunguziane miaka ya kuishi.
historia inatuonyesha kuwa na hata ndkum na Hb wanasema wanawowajua kuwa wana siraha za mangamizi na ndio anachokitaka zaidi kwahiyo dogo inawezekana si haba atakuwa ana zaidi ya pesa
 
Aiseee kisa pesa bidada anavumilia kuchanganywa na kishimo. Kweli Pesa sabuni ya roho
Pesa mama ukitaka mjini huonekane boss lady ndio inabidi mshee mpaka na makaka dada anataka kwenda ibiza na yeye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom