Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,634
22,761
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.

Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
 
Israel imekasilika mpaka imeita mabarozi wao kutoka nchi hizo, kwasbb kutambua nchi ya palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka......tena kibaya zaidi Raisi wa Norway amesema Nyatanyahu ikija norway atakamatwa na kupelekwa ICC hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Norway na Spain raia wao kwa 95% ni nchi za Ukristo ila raia wao ni elites wana uwezo wa kutenganisha masuala ya dini na siasa hawana mihemuko chuki, na ujinga kama raia wa Jamaica.
 
Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli 🤔
 
Norway na Spain raia wao kwa 95% ni nchi za Ukristo ila raia wao ni elites wana uwezo wa kutenganisha masuala ya dini na siasa hawana mihemuko chuki, na ujinga kama raia wa Jamaica.
We sema tu ukweli kuwa wana elimu na uelewa wa kutosha, hawana mihemuko na chuki za kidini kama watanzania ambao kutwa kuchwa wanaside na Israel au Palestine si Kwa sababu ya objectivity ya jambo lilivyo ila tu Kwa sababu wao ni watu wa Imani fulani.
 
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasbb kutambua nchi ya palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka......tena kibaya zaidi Raisi wa Norway amesema Nyatanyahu ikija norway atakamatwa na kupelekwa ICC hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Nawaooo wasikanyage israel......inawahusu
 
Nchi za Ireland, Norway na Hispania zimetangaza kuitambua Palestina kama nchi huru.

Nchi hizo kwa pamoja zimesema ili kuwepo na amani mashariki ya kati ni lazima kuwepo na nchi mbili zinazojitegemea vinginevyo hakutakua na amani ya kudumu.

Israel imepinga vikali huo uamuzi wa hizo nchi kuitambua Palestina kama nchi huru na imewaita mabalozi wake wote warudi nyumbani kutoka kwenye hizo nchi.

Israel inasema hizo nchi kuitambua Palestina kama nchi kamili ni kukubali kweli kwamba ugaidi unalipa.


View: https://twitter.com/SkyNews/status/1793179458976829769?s=19
 
Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli
Ndo mchakato unaanza hivo mpaka atalazimika kuanza two state solution.
 
Hayo ni maneno matupu kwa sababu Ni vigumu kutambua "Statehood" ya Wapalestina bila kuhusisha Israeli. Israeli ndiye anayeamua nani aingie palestina na nani asiingie. Msaada gani uingie Palestine na upi usiingie. Karibu kila kitu Gaza na Westbank kinakuwa controlled na Israeli 🤔
One step at a time kabla ya oct 7
Netanyahu hajawahi kuwaza israel inaweza kushtakiwa icj
Kabla ya oct 7 netanyahu na marekani hawajawahi kuwaza kwamba kuna siku icc itaenda kinyume na matakwa yao
Kabla ya oct 7 netanyahu hajawahi kuwaza kwamna kuna nchi za magharibi zitaitambu palestina
Kabla ya oct 7 marekani haijawahi kutokea senior department member of state wa marekani tena muisrael kujiuzulu kupinga sera za marekani na israel kuhusu wapalestina hadi leo watano wamejiuzulu kutoka kwenye ikulu ya marekani
Ni ushindi mkubwa sana kwa wapigania haki wote duniani
 
Back
Top Bottom