Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Fani zote zipo saturated sijaona sababu ya kulinganishaNimekuuliza hivi "ukilinganisha na fani gani "? Sijakuuliza miaka au kipindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fani zote zipo saturated sijaona sababu ya kulinganishaNimekuuliza hivi "ukilinganisha na fani gani "? Sijakuuliza miaka au kipindi
Sababu ya kulinganisha ipo, hivi unalinganisha Community development, uhasibu, sociology, bussines administration na Medicine, pharmacy hapo Wapi wako saturated?
Sio demanded kabisa mkuu sasa hivi tunataka madaktari, manesi, walimu wa sayansi na English, architects, land surveyors, valuers, wafamasia, mainjinia, wataalam wa maabara, wadaktari wa mifugo, madaktari wa meno,wataalam wa wanyama pori ! Nyie watu mliosoma Kozi za biashara,uchumi, social sciences hamna ajira kabisa.